Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Next time msisogelee mezaa kuu mtachezea mitama kama ya mchomvu.Daudi Mchambuzi Kwa Mara ya kwanza leo umeongea point
Naona umeshaanza utoporoNext time msisogelee mezaa kuu mtachezea mitama kama ya mchomvu.
Hivi Bashite baada ya kutimuliwa kazi bado ni mlezi wenu au mnammendea RC mpya ??Naona umeshaanza utoporo
Wamejikita kwenye mazoezi ya kucheza na kusahau mazoezi ya sauti na pumzi.
Hawajui kabisa kuimba liveHawawezi imba live
Halafu kaimba vibaya na ma play-back yake. Kiba kaimba vizuri sana. Konde boy pia kaimba vizuri.
Diamond kapayuka payuka tu.
Trainerpesa mbona wanazo kwanini wasitafute vocal training?
Rc kunenge hataki shobo na makupe wa WCBHivi Bashite baada ya kutimuliwa kazi bado ni mlezi wenu au mnammendea RC mpya ??