Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini kinaendelea DodomaHalafu kaimba vibaya na ma play-back yake. Kiba kaimba vizuri sana. Konde boy pia kaimba vizuri.
Diamond kapayuka payuka tu.
Ilitokea lini hiyo mkuu ?Kwa Mnagangwa niliona wana usalama wakitimua mbio baada ya bomu kulipuka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sema watz wengi waoga sana wa mabadiliko, halafu wengi hawatambui haki zao.Ccm wanachofanya katika uchaguzi huu ni sawa na demu kajifungia bafuni tena la nje halina hata bati alafu anamwambia mwanaume aliye nje " utawezaa". Huku akimning'izia dume chupi yake nje.
Ccm inapendwa sana na watu wa rika zoteKinachonichekeshe watu hawataongelea hoja wataongelea wasanii na Mambo ya mitama.
Kinaniuuma vibarua wangu wamebebwa na malori ya CCM kwa ahadi ya 10,000 na tishirt na kofia. Kesho wakirudi ntawaambie waende kuomba kazi CCM kwani tayar uniform wanazo.
Hongereni CCM kwa fiesta nzuri ila clouds mnawaweka kwenye wakati mgumu kibiashara.
Ingia youtube utaiona,sio muda mrefu sana umepita na jamaa alikuwa tayari ni Rais!Ilitokea lini hiyo mkuu ?
Ikawaje akapona aiseee, bomu halikutegwa vizuri hiloIngia youtube utaiona,sio muda mrefu sana umepita na jamaa alikuwa tayari ni Rais!
Acha uongo ni watu wachumia tumbo tu ndio wanaipenda ccm na hata hao wasanii wapo hapo kwa ajili ya kipato na ukiona watu wamejaa kwenye huo uwanja jua kuwa wameenda kwa ajili ya show za wasanii...Ccm inapendwa sana na watu wa rika zote
Huoni watu walivyojaa leo kwenye ufunguzi wao wa kampeni.Acha uongo ni watu wachumia tumbo tu ndio wanaipenda ccm na hata hao wasanii wapo hapo kwa ajili ya kipato na ukiona watu wamejaa kwenye huo uwanja jua kuwa wameenda kwa ajili ya show za wasanii...
Naona timing ya mlipuaji ilikuwa mbovu!Bomu lilikuwa dogo kiasi kwamba mlengwa alitakiwa awe on the spot wakati linalipuliwa!Lakini hesabu zao hazikwenda sawa kwanimlemgwa alikuwa hayuko kwenye zone tarajiwa!Ikawaje akapona aiseee, bomu halikutegwa vizuri hilo
fiesta, wameanza tena.😁😁😁😁,kuna tamasha huko dodoma?
Kuna kazi na dawa🤣🤣🤣😁😁😁😁,kuna tamasha huko dodoma?
Next time watege boom lao vizuri, hawa madikteta wa afrika wanastahili kulipuliwa.Naona timing ya mlipuaji ilikuwa mbovu!Bomu lilikuwa dogo kiasi kwamba mlengwa alitakiwa awe on the spot wakati linalipuliwa!Lakini hesabu zao hazikwenda sawa kwanimlemgwa alikuwa hayuko kwenye zone tarajiwa!
Walinzi wa Rais bomu lilipukia jirani na miguu yao,acha wachomoke spidi[emoji16][emoji16][emoji16],Hussein Bolt cha mtoto!
Halafu kaimba vibaya na ma play-back yake. Kiba kaimba vizuri sana. Konde boy pia kaimba vizuri.
Diamond kapayuka payuka tu.
🤣🤣🤣🤣HatariiCcm wanachofanya katika uchaguzi huu ni sawa na demu kajifungia bafuni tena la nje halina hata bati alafu anamwambia mwanaume aliye nje " utawezaa". Huku akimning'izia dume chupi yake nje.