Diamond platnumz awabwaga Davido na Awilo longomba

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,058
Katika tuzo za IRAWMA zilizokuwa zikifanyika nchini Marekani msanii "Diamond" amewapiga za uso wasanii Davido na Awilo na kuchukua tuzo ambayo walikuwa wamewekwa kwenye category moja.

My take...

huyu jamaa kama unamchukia basi utakuwa ni mwenye tabia ya kuchukia vitu tu pasipokuwa na sababu za msingi.......

Team ally kiba mpoooo??? ally kama tuzo za killi zinamshinda huu upepo wa kina Davido atauweza kweli maana mdogomdogo na Mwana zimetoka pamoja ila mdogomdogo ishaanza kuchukua tuzo hyo ya kwenu mwana vipi??
 
kama wewe ndio PRO wa huyu Diamond basi hasara tupu
By the way if is true nampongeza dogo aendelee kukaza buti maana now yuko kwenye peak and always the LAW OF DIMINISHING MARGINAL RETURNS huwa haiongopi...
 
Shine bright kama diamond boss ni Lucifer by Nikki Mbishi Zohan shatta babubomba unju bin unuki jogoo
 
kama wewe ndio PRO wa huyu Diamond basi hasara tupu
By the way if is true nampongeza dogo aendelee kukaza buti maana now yuko kwenye peak and always the LAW OF DIMINISHING MARGINAL RETURNS huwa haiongopi...
return or utility? So tushuhudie anguko?
 
Mtanza wa kwanza
na huu ni mwanzo tu
kwa jinsi dogo anavyojituma tusubili uwakilishi na mambo mazuri toka kwake
 
Umeleta habari kishabiki!
 
kama wewe ndio PRO wa huyu Diamond basi hasara tupu
By the way if is true nampongeza dogo aendelee kukaza buti maana now yuko kwenye peak and always the LAW OF DIMINISHING MARGINAL RETURNS huwa haiongopi...

wakati hiyo law ya DIMINISHING MARGINAL RETURNS inaapply kwa mond atakuwa ameshafanya yake, na tunalifahamu hilo.the good party of it ni kwamba kijana ameweza kuutumia muda wake vizuri.
 
Mtanza wa kwanza
na huu ni mwanzo tu
kwa jinsi dogo anavyojituma tusubili uwakilishi na mambo mazuri toka kwake

ingekuwa vema wanaomsubiri ashuke ndio wapande, wakapanda tu sasa wakakutane huko juu ingeleta maana zaidi, sasa watu wamekomalia kumshusha kwanza daimond ili wampandishe wanaomtaka wao kana kwamba kiti cha mafanikio nipo kimoja tu pale juu, huu ni ulimbukeni uliopitiliza
 
umeonaee yaani binadamu full majilas
 
Tuzo gani hizo hata hazijulikani kihivyoo diamond namkubali ila hafui dafu kwa davido miaka miaka mia 8...
 
Naona hii thread inaonesha wazi Ali Kiba anawatia kiwewe wabeba mabegi wa Wema na domo.
 
Davido amuwezi hata kidogo Diamond kwa performance acheni kupapatikia wasanii wa nje.

Davido bado sana asee hata kuimba Davido ni kawaida sema Davido ni mkali sana wa kutunga vibao ambavyo vinachezeka ambavyo kimsingi ndo vinabamba kwenye soko a muziki
 
MTV, BET, CH0 Hizi ndio tuzo zenye heshima hizi nyingine hazipishani sana na zile Show za besidei wanazoenda kufanya wabongo huko ulaya

maneno yamkosaji hayo.....Diamond hachagui yeye ni tuzozote kuzikomba kuanzia Kili na zinginezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…