Diamond platnumz awabwaga Davido na Awilo longomba

Diamond platnumz awabwaga Davido na Awilo longomba

Hhhhaaa ilani ya chama,vipi ushaisoma katiba?.weka basi hapa niione

mimi walivyoichakachuwa sina hata hamu nayo.

Tulitaka mawaziri wasiwe wabunge wamekataa

Tulitaka wabunge mwisho vipindi vitatu wamekataa.

Tulitaka elimu ya mbunge ianze kidatu cha nne wamekataa

Tulitaka serikali tatu wamekataa

Tulitaka Rais apunguziwe madaraka wamekataa

Tulitaka teuzi zote nyeti ni lazima zipite kwa wananchi kupitia chombo cheti bunge ili kukubali au kuzikataa teuzi hizo pia wamekataa

Tulitaka kufuta viti maalum pia wamekataa

Tulitaka wananchi tupewe mamlaka ya kumuondoa mbunge asiyetimiza wajibu pia wamekataa

Sihitaji hata kusoma hiyo katiba ya fisadi chenge tayari nina kura yangu ya HAPANA mkononi.

Warioba ni sisi wananchi ndio tulipa maoni yetu tunataka nchi iongozwe vipi.
 
Hivi wewe mleta mada una akili nzuri kichwani au usaha?hayo matusi unayotukana watu mama zao wewe umezaliwa na gogo?ushabiki wako maandazi usikufanye udhalilishe akina mama hapa jukwaani....tutakuripoti upigwe ban sasa hivi,sasa ole wako utukane tena.... el nino
 
Last edited by a moderator:
Jamani BAN inahusika huku.Hiyo mitusi dah tena ya wazazi sio fair
 
Back
Top Bottom