Diamond platnumz awabwaga Davido na Awilo longomba

Diamond platnumz awabwaga Davido na Awilo longomba

Sjui kiba kahusikaje kwenye habar hii ya tuzo??????
 
Aahaaa kumbe Best African entertainer !! ..Nilidhani Best African Vocalist..

Kama hiyo ni haki yake..maana kuimba hajui..
 
Back
Top Bottom