mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 954
- 1,469
Mumeo kazi anayo......acha akipate cha moto,ubaba hauishii kumwaga sperms tu,ubaba ni malezi,kama baba hakuwepo pindi diamond anamuhitaji the most,why diamond awepo kwenye maisha ya baba yake now?Diamond hakuna kurudi nyuma na kumsamehe siyo lazima umsaidie
Hilo hilo la kumtelekeza ndio anatakiwa asamehe. Mkuu msamaha sio kwa ajili ya unayemsamehe tu, bali na kwa ajili yako pia. Unapomchukia mtu kuna kitu ndani ya moyo wako unakuwa imekibeba kama mzigo. Na utakuwa nacho maisha yako yote. Sasa kwa nini uendelee kubeba mzigo ambao unaweza kuutua?Amsamehe kwa lipi wakati alimtelekeza?
Victoire pls, remember two wrongs don't make a right!acha akipate cha moto,ubaba hauishii kumwaga sperms tu,ubaba ni malezi,kama baba hakuwepo pindi diamond anamuhitaji the most,why diamond awepo kwenye maisha ya baba yake now?Diamond hakuna kurudi nyuma na kumsamehe siyo lazima umsaidie
Baba irresponsilble, anapanda mbegu anasepa sasa analila lia. Wenzie wapalilie yeye aje kuvuna. ANY Ni vizuri mtoto kumsamehe mzazi wake.Amsamehe kwa lipi wakati alimtelekeza?
Umesahau hesabu za logic?Victoire pls, remember two wrongs don't make a right!
Mkuu mie kwenye hesabu nilikuwa KILAZA, sasa hiyo logic za hesabu nitazikumbukaje? Mimi kwa kweli sihitaji hesabu za logic kumsamehe mtu aliyenikosea! Nitamsamehe tu, acha hizo hesabu zibaki na logic zake!!Umesahau hesabu za logic?
akili ni nywele ndugu.wema anaweza kua bora kuliko baba.changanya na zakoMbona mara kadhaa wa kadha aliweza msamehe Wema anashindwaaje msamehe baba yake mzazi,if he real believe in God forgiveness is a blessing.
Sidhani kama ana guts za kuwashitaki maana wasanii fulani wanadhani bila watu fulani basi wao si chochote hata wakiwakosea...interview ile ilikuwa inawadhalilisha wao..gosh!!!!!!!!!!
ina maana walimfanyia interview baba akiwa kalewa?
nani aliye wapa kibali icho? hakya mama kama ndivyo diamond akawashtak. imagine inabaki kwenye archives zao for years.......hii ni nini?
Angekuwa hajamsamehe asingekuwa ana mkumbuka kwenye mahitaji au kumhudumia...Amsamehe tu,mzaz kaomba msamaha ametambua makosa
Hapo mama keshamwaga sumu balaa
Yaani inaumiza mno. Mtu ambae amepata bahati ya kupata mapenzi ya baba hawezi akaelewa ni jinsi gani Diamond anajusikia kuhusu baba yake. Ukikumbuka mama yako alivyoteseka kukutoa katika shida huwezi muelewa baba yako sasa akijirudi. Ila ipo siku atamsamehe baba yake na maisha yataenda. Ni suala la wakati.Time not yet
kama chanzo mama je.uoni kama domo ana makosa kwanza ata uteswe vipi ni mzazi tu.maana aliweza kukuzaa.ngojeni tu.mtasikia mengi.maana kinachofanyika domo anapata laanaYaani inaumiza mno. Mtu ambae amepata bahati ya kupata mapenzi ya baba hawezi akaelewa ni jinsi gani Diamond anajusikia kuhusu baba yake. Ukikumbuka mama yako alivyoteseka kukutoa katika shida huwezi muelewa baba yako sasa akijirudi. Ila ipo siku atamsamehe baba yake na maisha yataenda. Ni suala la wakati.
Kweli kabisaYaani inaumiza mno. Mtu ambae amepata bahati ya kupata mapenzi ya baba hawezi akaelewa ni jinsi gani Diamond anajusikia kuhusu baba yake. Ukikumbuka mama yako alivyoteseka kukutoa katika shida huwezi muelewa baba yako sasa akijirudi. Ila ipo siku atamsamehe baba yake na maisha yataenda. Ni suala la wakati.
bosi wangu najaribu kukuelewa lakini nashindwa!hivi hata kama mama ake diamond ndo alizingua ndo iwe sababu ya kumtelekeza na mtoto mazima?halafu unajileta keshakuwa mbaba na mafanikio yake makubwa,kweli sawa?we huoni huyu mzee atakuwa si timamu,mbona hakwenda kuomba msamaha kipindi dai anakomaa najua kali kwa kunadia mitumba yake?kama chanzo mama je.uoni kama domo ana makosa kwanza ata uteswe vipi ni mzazi tu.maana aliweza kukuzaa.ngojeni tu.mtasikia mengi.maana kinachofanyika domo anapata laana
Diamond mwisho wake mbaya sana atakuja juta amzarauye babaye maisha yake ni kama tone la maji huwezi kujua mapenzi ya baba yako na mama yako yaliingia dosari gani kwa mwanaume mwenye akili hayo mambo usiyaingilie unatakiwa uyakwepe usukubali kujumuishwa humo inahitaji akili sana sababu ni rahisi sana kwa mama kumwaminisha mtoto mabaya ya baba yake kuliko baba kumwaminisha mtoto
kama chanzo mama je.uoni kama domo ana makosa kwanza ata uteswe vipi ni mzazi tu.maana aliweza kukuzaa.ngojeni tu.mtasikia mengi.maana kinachofanyika domo anapata laana
Hata mm ilinichukua muda sana kumsamehe baba yangu ingawa bado mpaka leo anaishi na mama. Baba ambae hafanyi majukumu yake kwa mtoto wanaumiza sana watoto kisaikolojia. Naelewa jinsi diamond anavyojisikia kuhusu baba yake. Inahitaji neema kumsamehe irresponsible father.