kama chanzo mama je.uoni kama domo ana makosa kwanza ata uteswe vipi ni mzazi tu.maana aliweza kukuzaa.ngojeni tu.mtasikia mengi.maana kinachofanyika domo anapata laana
Wee Kagombe hufikirii sawasawa...halafu unaona mzazi ni mtu mwenye special prevelege katika dunia na maisha kwa ujumla.
Mzazi timiza wajibu wako then unaweza kudai respect maana ni rightfully yours.
Watoto wako sio mifugo yako unaweza itisha utakavyo.Ni watu binafsi wenye mioyo yao na maisha yao,wanaweza wakupende au wasikupende,huwezi panga haya...kitakachitokea live with it.
Mzazi ni mwanadamu kama walivyo wengine,huna hati miliki ya kumiliki mwanadamu mwingine,muheshimu mwanao kama mtu kamili,usilete upumbavu kusema unamiliki mwanao kwasababu umemzaa.
Kwanza ni wajibu wako kumzaa sio ombi.Ni wajibu wako kumtunza na sio ombi,shenzi type umekuja duniani ukalelewa na wewe lelea wanao,hakuna prevelege umetoa kuzaa wanao na kuwalea,ni wajibu,ba usipotimiza ndio utaishia kua baba diamond,shenzi type anajua kuzaa na kuacha,anatakiwa ashitakiwe kabisa huyo mzee.
Na wapuuzi kama wewe ndio mtakuja kufa kwa pressure pale watoto wenu wanakapoenda na maisha yao,kumbe wewe unawategemea eti kisa umewazaa,hujaja duniani kumtegemea mtu,kama umekuja duniani kuzaa watoto ili uwafanye mifugo yako wewe ni wa kuchinja hadharani kabisa