Sawa ila basi hata kumtembelea mzee ajiskie vzur maana nlivoskiliza interview ni zaid ya miaka miwil hawajaonanaAngekuwa hajamsamehe asingekuwa ana mkumbuka kwenye mahitaji au kumhudumia...
Hahahaaaa alafu kama alikuwa kalewa wakat anaongea,Acheni kumtisha kijana wa watu...baba yake ni wa hovyo,hakutimiza wajibu wake alipokua anawazaa na sasa anavuna alichopanda,hii kuzunguka kwenye mastesheni kuelezea upumbavu wake ni aibu kubwa sana
Mwanaume mwenye pumbu mbili zinaning'inia umezalisha watoto ukatelekeza kwa upumbavu wako leo unajifanya kuibuka?Mpuuzi kabisa,heri angenyamaza aendeshe maisha yake binafsi awasalimie tu kama wanae na sio drama za kipuuzi namna hii,aibu sana
Kama unazungumzia laana hizi hzi tunazozijua basi haita mpata Daimond. Acha mzee ameze machungu yake mpaka pale atakapo samehewa. Ni suala la wakati tuu. Na iwe fundisho kwa wababa na wababa watarajiwa msitelekeze damu zenu. Karma inafanya kazi.kama chanzo mama je.uoni kama domo ana makosa kwanza ata uteswe vipi ni mzazi tu.maana aliweza kukuzaa.ngojeni tu.mtasikia mengi.maana kinachofanyika domo anapata laana
Sa hii ndo anamtambua dai wakati alimtelekeza utotoni..... Hapati laana. Yeyote badala yake huyo Mzee ndo ana laanaDiamond mwisho wake mbaya sana atakuja juta amzarauye babaye maisha yake ni kama tone la maji huwezi kujua mapenzi ya baba yako na mama yako yaliingia dosari gani kwa mwanaume mwenye akili hayo mambo usiyaingilie unatakiwa uyakwepe usukubali kujumuishwa humo inahitaji akili sana sababu ni rahisi sana kwa mama kumwaminisha mtoto mabaya ya baba yake kuliko baba kumwaminisha mtoto
Labda kwavile husahau adha za kulala njaa na kukosa elimu ilhali huyu Mzee Alikuwa anakula good times na km dai asingekuwa na mkwanja,,, hicho kibaba kisingejitangazia njaa[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji37] [emoji37] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Alimtelekeza diamond wakati yuko mtoto
Mbona mara kadhaa wa kadha aliweza msamehe Wema anashindwaaje msamehe baba yake mzazi,if he real believe in God forgiveness is a blessing.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ninacho wapa lawama Clouds media ni kumhoji mtu aliye lewa halafu mambo binafsi kwakweli aliyo kuwa ana yaongea yalikuwa hayana tija!
UnatoshaIla pamoja na hayo, Diamond can do better kwa bana yake. Kimuonekano hayuko sawa, eidha ni alcoholic au anabwia.
Pia alikiri kuwa hajaonana na mwanae toka enzi Diamond kaenda kumtambulisha Wema. Na mpaka sasa hajatambulishwa kwa mjukuu wake, kadai anatumiwa mihamala kiasi, ila mawasiliano ya ana kwa ana hayapo, kamuomba mwanae asimtupe kiasi hicho. Kwa haya maelezo na jinsi anavyoonekana, kuna mambo mengi hayako sawa kati yao watatu, diamond, mama diamond na baba diamond.
Kwenye paragraph yako ya kwanza nimekuelewa vizuri tu,but hii paragraph ya pili sijaelewa umemaanisha nini mkuu...ufafanuzi tafadhali.Wakati mwingine inauma sana kukosa baba lakini pia inauma zaidi kumpata baba kipindi ambacho hahitajiki kwa muda huo
Wanawake wakati mwingine muogopeni mungu
Mnaroho mbaya na ngumu kama chuma cha pua
Wanawake ni mama zetu,wake zetu,watoto wetu lakini wao ni chanzo kikubwa cha matatizo ktk familiaKwenye paragraph yako ya kwanza nimekuelewa vizuri tu,but hii paragraph ya pili sijaelewa umemaanisha nini mkuu...ufafanuzi tafadhali.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] uongoWanawake ni mama zetu,wake zetu,watoto wetu lakini wao ni chanzo kikubwa cha matatizo ktk familia
Mpaka diamond akataliwe na baba yake inawezekana mama yake hakutosheka na mume mmoja kiasi cha kumfanya baba diamond aamini kiumbe aliyopo tumboni sio wake
Labda angekubali kipindi hiko diamond leo asingekuwa mwanamziki.kwani kazi anayoifanya baba ndiyo atakayoifanya mtoti.kama unabisha kamuulize muheshimiwa makamba
wengine wanawabakaNi umbulula kushindana na baba yako. Bila kumtomgoza mama yako ukazaliwa ungekuwa unaringa mitaani?
Unajua alisotaje kumpata mama yako?
Niujinga kabisa kutokumsamehe.
Kila jambo hupangwa inawezekana Angemsaidia leo hii Diamond angekuwa Nesi au mwalimu tu.
Hilo hilo la kumtelekeza ndio anatakiwa asamehe. Mkuu msamaha sio kwa ajili ya unayemsamehe tu, bali na kwa ajili yako pia. Unapomchukia mtu kuna kitu ndani ya moyo wako unakuwa imekibeba kama mzigo. Na utakuwa nacho maisha yako yote. Sasa kwa nini uendelee kubeba mzigo ambao unaweza kuutua?
Baba irresponsilble, anapanda mbegu anasepa sasa analila lia. Wenzie wapalilie yeye aje kuvuna. ANY Ni vizuri mtoto kumsamehe mzazi wake.