Diamond platnumz, baba ni baba tu, rudi kwa baba yako

Diamond platnumz, baba ni baba tu, rudi kwa baba yako

yani mzazi ana mjadara ktk hili.na mondi atapotea kwa haraka maana atapata laana ya baba maana ajajizaa.na anae kuchukoa anakufunza ndg yangu.baba ni baba.nazi aiwezi kuvunja jiwe
 
Acheni kumtisha kijana wa watu...baba yake ni wa hovyo,hakutimiza wajibu wake alipokua anawazaa na sasa anavuna alichopanda,hii kuzunguka kwenye mastesheni kuelezea upumbavu wake ni aibu kubwa sana

Mwanaume mwenye pumbu mbili zinaning'inia umezalisha watoto ukatelekeza kwa upumbavu wako leo unajifanya kuibuka?Mpuuzi kabisa,heri angenyamaza aendeshe maisha yake binafsi awasalimie tu kama wanae na sio drama za kipuuzi namna hii,aibu sana
Hahahaaaa alafu kama alikuwa kalewa wakat anaongea,
 
kama chanzo mama je.uoni kama domo ana makosa kwanza ata uteswe vipi ni mzazi tu.maana aliweza kukuzaa.ngojeni tu.mtasikia mengi.maana kinachofanyika domo anapata laana
Kama unazungumzia laana hizi hzi tunazozijua basi haita mpata Daimond. Acha mzee ameze machungu yake mpaka pale atakapo samehewa. Ni suala la wakati tuu. Na iwe fundisho kwa wababa na wababa watarajiwa msitelekeze damu zenu. Karma inafanya kazi.
 
Wakati mwingine inauma sana kukosa baba lakini pia inauma zaidi kumpata baba kipindi ambacho hahitajiki kwa muda huo

Wanawake wakati mwingine muogopeni mungu
Mnaroho mbaya na ngumu kama chuma cha pua
 
Diamond mwisho wake mbaya sana atakuja juta amzarauye babaye maisha yake ni kama tone la maji huwezi kujua mapenzi ya baba yako na mama yako yaliingia dosari gani kwa mwanaume mwenye akili hayo mambo usiyaingilie unatakiwa uyakwepe usukubali kujumuishwa humo inahitaji akili sana sababu ni rahisi sana kwa mama kumwaminisha mtoto mabaya ya baba yake kuliko baba kumwaminisha mtoto
Sa hii ndo anamtambua dai wakati alimtelekeza utotoni..... Hapati laana. Yeyote badala yake huyo Mzee ndo ana laana
 
Alimtelekeza diamond wakati yuko mtoto
Labda kwavile husahau adha za kulala njaa na kukosa elimu ilhali huyu Mzee Alikuwa anakula good times na km dai asingekuwa na mkwanja,,, hicho kibaba kisingejitangazia njaa[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji37] [emoji37] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Mbona mara kadhaa wa kadha aliweza msamehe Wema anashindwaaje msamehe baba yake mzazi,if he real believe in God forgiveness is a blessing.
 
Ninacho wapa lawama Clouds media ni kumhoji mtu aliye lewa halafu mambo binafsi kwakweli aliyo kuwa ana yaongea yalikuwa hayana tija!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Ila pamoja na hayo, Diamond can do better kwa bana yake. Kimuonekano hayuko sawa, eidha ni alcoholic au anabwia.
Pia alikiri kuwa hajaonana na mwanae toka enzi Diamond kaenda kumtambulisha Wema. Na mpaka sasa hajatambulishwa kwa mjukuu wake, kadai anatumiwa mihamala kiasi, ila mawasiliano ya ana kwa ana hayapo, kamuomba mwanae asimtupe kiasi hicho. Kwa haya maelezo na jinsi anavyoonekana, kuna mambo mengi hayako sawa kati yao watatu, diamond, mama diamond na baba diamond.
Unatosha
 
Wakati mwingine inauma sana kukosa baba lakini pia inauma zaidi kumpata baba kipindi ambacho hahitajiki kwa muda huo

Wanawake wakati mwingine muogopeni mungu
Mnaroho mbaya na ngumu kama chuma cha pua
Kwenye paragraph yako ya kwanza nimekuelewa vizuri tu,but hii paragraph ya pili sijaelewa umemaanisha nini mkuu...ufafanuzi tafadhali.
 
Kwenye paragraph yako ya kwanza nimekuelewa vizuri tu,but hii paragraph ya pili sijaelewa umemaanisha nini mkuu...ufafanuzi tafadhali.
Wanawake ni mama zetu,wake zetu,watoto wetu lakini wao ni chanzo kikubwa cha matatizo ktk familia
Mpaka diamond akataliwe na baba yake inawezekana mama yake hakutosheka na mume mmoja kiasi cha kumfanya baba diamond aamini kiumbe aliyopo tumboni sio wake
 
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] uongo
 
Labda angekubali kipindi hiko diamond leo asingekuwa mwanamziki.kwani kazi anayoifanya baba ndiyo atakayoifanya mtoti.kama unabisha kamuulize muheshimiwa makamba
 
Labda angekubali kipindi hiko diamond leo asingekuwa mwanamziki.kwani kazi anayoifanya baba ndiyo atakayoifanya mtoti.kama unabisha kamuulize muheshimiwa makamba
IMG-20160108-WA0014.jpg

aliishi mazingira magumu sana huyu hapo ndo kajikoki sanaaa

wababa huwa mnawapa wanawake taabu sana pale unapoleta magumash na kumuacha mama na watoto wewe kwenda kuanzisha familia penginee.... bila kujali wale uliowaacha nyuma wanakula ama wanalalaje wanaugua ama maisha yao yanakwenda vipi hii ni mbaya sana hata mm nisingiwahi kumsamehe milele daimawhat if ningekufa kwa maradhi wakati kanitupa angelalamikia wapi yaani kuniona ninacho ndo kukimbilia clouds daaaaaaaaaaaaadake
 
Ni umbulula kushindana na baba yako. Bila kumtomgoza mama yako ukazaliwa ungekuwa unaringa mitaani?

Unajua alisotaje kumpata mama yako?
Niujinga kabisa kutokumsamehe.

Kila jambo hupangwa inawezekana Angemsaidia leo hii Diamond angekuwa Nesi au mwalimu tu.
 
wengine wanawabaka
 
Hilo hilo la kumtelekeza ndio anatakiwa asamehe. Mkuu msamaha sio kwa ajili ya unayemsamehe tu, bali na kwa ajili yako pia. Unapomchukia mtu kuna kitu ndani ya moyo wako unakuwa imekibeba kama mzigo. Na utakuwa nacho maisha yako yote. Sasa kwa nini uendelee kubeba mzigo ambao unaweza kuutua?

Kama huwezi kusamehe inakuaje apo! make unaweza zuga umesamehe kumbe moyoni bado unakereketwa.
 
Baba irresponsilble, anapanda mbegu anasepa sasa analila lia. Wenzie wapalilie yeye aje kuvuna. ANY Ni vizuri mtoto kumsamehe mzazi wake.

Ivi ukinya kwenye shamba la mtu, ukaota mpera, mwenye shamba akapalilia ukamea, je unahaki ya kuja kuchuma mapera au kuelezea ilikuaje?!
 
Hiko kizee hakifai kusamehewa! Kitubu kwanza kwa Mungu wake.
 
Back
Top Bottom