Diamond platnumz, baba ni baba tu, rudi kwa baba yako

Mkuu umenena vyema sana hii ni HATARI KUBWA na laana kwa hiki kizee
 
Huyo jamaa na dini yake hajui kwamba Mungu ni wa HAKI.
 
Kweli kabisa..kwanza ugomvi wa mama na baba yeye haumhusu..anaamini vp kama mama yake hakuwa na makosa??labda huyo mama yake ndo alikuwa chanzo..hata maandiko yanasema tusameheane.
Acha kujibu ku coment kitu usichokijua! Ni hivi diamond kwa kinywa chake mwenyewe amesema aliwahi kumfuata baba yake ampe Ada ya shule.

Baba yake akamtimua!
Tofautisha mtoto na mama +baba.
Kwa hiyo wewe ukigombana na mke wako ndio mwisho pia wa kumpa pia mtoto wako matunzo kwa sababu umegombana na mke wako.
Hivi wewe una akili kweli!?
 
Dini ya kiislam inasema wazi Mwenyenzi Mungu ni wa HAKI!
Manake ni kwamba kama baba diamond amefanya makosa ilihali alikuwa timamu na sasahivi amerudi baada diamond kuwa somebody.
 
mimi navyojua mtoto wakiume hata sikumoja usije kumzira baba yako hata kama alikutenda vipi zaidi nikushuka chini na kumsdamehe,kama kauli ya waswahili isemayo mkubwa au mzazi hakosei!!Hata huyu baba zari ajue naye ni baba kesho nakesho kutwa huyo mama wanaweza kuhitirafiana akaondoka,nakama tunavyojua wamama wanavyojua kujaza sumu watoto wao nayeye kesho tiffa mwana wa aliko dangote naye akamuona mondy sio kitu...!!mpaka sasa kuna mibaraka anaifukuza
 
Member wengi humu hawajui upendo inakuja automatically
 
ila baba yake aliweza kumzira mtoto wakwe wa kiume sio khaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wakati mwingine MTU unaangalia sababu ya nafanikio yako ni nini, kama shida ndio zimekupelekea kufanikiwa basi aliyekusababishia shida hizo ni wa kumpongeza
 
Wakati mwingine MTU unaangalia sababu ya nafanikio yako ni nini, kama shida ndio zimekupelekea kufanikiwa basi aliyekusababishia shida hizo ni wa kumpongeza
hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhheeeeeeeeeee hapana asee
 
ila baba yake aliweza kumzira mtoto wakwe wa kiume sio khaaaaaaaaaaaaaaaa

ushahidi unao kama alimzira,ukienda kuongea na babake nasib abdul kwanini aligombana na mamake nasib unaweza ukamshauri mondy askize babake,vivyo hivyo ukienda kumuuliza mamake mondy kinagaubaga kuhusu kutalikiana kwao utapewa story ambayo utamuona babake mondy hakustahili kuwa mwanaume so achana kamiza na maswala yawawili walio share shuka moja na wakaamua kutengana..!!

Naomba nikufundishe ukija kuwa mzazi uyajue haya
 
Yaani hapa inahitajika mahakama ya haki za watoto.
 
hahahahahahah kwani wewe ni baba nasiibu ama vipi? mimi ni mwanamke naelewa yanayotokea sasa tuliza kipago halafu aundike kiswahili upo kijiwe gani sa hii au ni konda unaropoka huku unakusanya nauli ??
 
hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhheeeeeeeeeee hapana asee
Usicheke mkuu,pengine angetunzwa vizuri asingekuwa amejisomea kiwango cha kawaida na kuishia kuwa karani. Lakini msoto ulimpeleka kwenye sanaa na kila akikunbuka shida zake anaongeza juhudi npaka kafika hapo.
Kwa hiyo hongera kwa aliye msababishia kuujua ugumu wa dunia na kujituma sana
 
hahahahahahah kwani wewe ni baba nasiibu ama vipi? mimi ni mwanamke naelewa yanayotokea sasa tuliza kipago halafu aundike kiswahili upo kijiwe gani sa hii au ni konda unaropoka huku unakusanya nauli ??
utoto na umalaya unakusumbua,ukijua kufua kyupi uje hapa bado unanuka kojo
 
utoto na umalaya unakusumbua,ukijua kufua kyupi uje hapa bado unanuka kojo
hahahaha amka kijana wacha upuuzi wewe utoto unao wewe mi wala si mtoto


mnasikitisha sana nyie vinuka mikojo wa shule yaani jitu linaandika mauchafu huku jf unajiona mjaaanja hapo ulipo hata adika yako tu unaonekana humjui huyo baba au unaye wa kupakaziwa hahahahahahahahahahaha pole sana
 
Kasome biblia vizuri wewe nyumbu usiwe unakurupuka tu mimi nimwombee mabaya ili iweje? Huyo diamond hanijui wala simjui kama familia yao imeparanganyika ni wao sisi tunashauri tu sasa wewe ni nani mpaka unashoboka hivyo? Au ni hawara yake? mimi nimekua kwenye maadili usinifananishe na hizo familia za mtaani plz
 
Mna mlaumu bure kuna mambo mengine mtu anapenda kusamehe ila inashindikana.kwani huenda kila anapomuona chuki inampanda
Waambie hao. Unajua ni rahisi sana kutoa ushauri kwa ishu ambayo haikuhusu, lakin hawa wangevaa viatu vya Diamond wangejua vinambanaje. Huwezi jua baba wa Diamond kafanya mambo gani mabaya mpaka akachukiwa. Suala lisiwe kuweka mimba tu akina dada, tukumbuke na kuzilea pia, sio kutaka tu kufaidi matunda ya mimba hizo.
 
Kama huwezi kusamehe inakuaje apo! make unaweza zuga umesamehe kumbe moyoni bado unakereketwa.
Mkuu huwezi kushindwa kusamehe, lakini unaweza kukataa kusamehe! Kushindwa hakupo maana ni jambo unaloamua mwenyewe kutoka ndani ya moyo wako. Ukisikia mtu anasema anashindwa kusamehe, huyo hajaamua, bali amekataa.
Hivyo hivyo huwezi kuzuga umesamehe, ni kujidanganya mwenyewe kwani haitachukua muda na utajikuta unafanya mambo ambayo hayafanani na ulichosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…