Kasome biblia vizuri wewe nyumbu usiwe unakurupuka tu mimi nimwombee mabaya ili iweje? Huyo diamond hanijui wala simjui kama familia yao imeparanganyika ni wao sisi tunashauri tu sasa wewe ni nani mpaka unashoboka hivyo? Au ni hawara yake? mimi nimekua kwenye maadili usinifananishe na hizo familia za mtaani plz
Hahahhahah kaka samahani...kupaniki huko VEPEEEEEπππππππ...
Kama ulivyosema mwenyewe bila kuandikiwa kwamba humjui hakujui kama familia yao imeparaganyika ni wao SASA WEWE HUO USHAURI KAKUOMBA NANI MWENZETU? Halaf umeniambia nashoboka wewe ushauri hujaombwa umeutoa na uskute hakuna hata ndugu yake Diamond humu ndani wa kumfikishia habari, hizo shobo zako VEPEE? Si uende wasafi records au madale ugonge upewe maji kisha uanze kutoa ushauri huoni utakua umewasaidia sana??? PLUS kama ungekua umekuzwa kimaadili usingekua una uwezo wa kutumia maneno kama nyumbu, hawara ku address your fellow human. Wazungu wanasema you ain gotta tell them just show them. Sasa wewe kwenye kushow ushafeliπππ. Wa mataani tu? hahahaha
Uwe na siku njema mtoto wa maadili LOL