Lepanto
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 1,162
- 500
Kaka umekwenda mbali sana.Ivi ukinya kwenye shamba la mtu, ukaota mpera, mwenye shamba akapalilia ukamea, je unahaki ya kuja kuchuma mapera au kuelezea ilikuaje?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka umekwenda mbali sana.Ivi ukinya kwenye shamba la mtu, ukaota mpera, mwenye shamba akapalilia ukamea, je unahaki ya kuja kuchuma mapera au kuelezea ilikuaje?!
Kasome biblia vizuri wewe nyumbu usiwe unakurupuka tu mimi nimwombee mabaya ili iweje? Huyo diamond hanijui wala simjui kama familia yao imeparanganyika ni wao sisi tunashauri tu sasa wewe ni nani mpaka unashoboka hivyo? Au ni hawara yake? mimi nimekua kwenye maadili usinifananishe na hizo familia za mtaani plz
Hahahhahah kaka samahani...kupaniki huko VEPEEEEE😛😛😛😛🙂🙂🙂...
Kama ulivyosema mwenyewe bila kuandikiwa kwamba humjui hakujui kama familia yao imeparaganyika ni wao SASA WEWE HUO USHAURI KAKUOMBA NANI MWENZETU? Halaf umeniambia nashoboka wewe ushauri hujaombwa umeutoa na uskute hakuna hata ndugu yake Diamond humu ndani wa kumfikishia habari, hizo shobo zako VEPEE? Si uende wasafi records au madale ugonge upewe maji kisha uanze kutoa ushauri huoni utakua umewasaidia sana??? PLUS kama ungekua umekuzwa kimaadili usingekua una uwezo wa kutumia maneno kama nyumbu, hawara ku address your fellow human. Wazungu wanasema you ain gotta tell them just show them. Sasa wewe kwenye kushow ushafeli😀😀😀. Wa mataani tu? hahahaha
Uwe na siku njema mtoto wa maadili LOL
Unategemea kama chanza mama yako.Ulifutilia ukajua kua mama yako ni chanzo maana wamama wengi wanatabia mbaya sana kuwajaza sumu watoto wawachukie baba zaoHata mm ilinichukua muda sana kumsamehe baba yangu ingawa bado mpaka leo anaishi na mama. Baba ambae hafanyi majukumu yake kwa mtoto wanaumiza sana watoto kisaikolojia. Naelewa jinsi diamond anavyojisikia kuhusu baba yake. Inahitaji neema kumsamehe irresponsible father.
Baba ni baba.Ata awejeMbona mara kadhaa wa kadha aliweza msamehe Wema anashindwaaje msamehe baba yake mzazi,if he real believe in God forgiveness is a blessing.