Diamond Platnumz bado ni mshamba sana

Aiseeee huu ni wivu Grade1
Kiwango cha Sgr kabisa
 
Halipwi vizuri kwani ww manager wake kama una ushahidi wa mikataba weka hapa.

Kawaulize wasanii wa Mombasa Mondi 2017 kakunja 100m,Uganda mwaka jana kakunja mil 80 show ya mda mfupi tu.Sasa halipwi vizuri ww ulitaka alipwe sh ngapi?
 
Duuuu jamaa umemkosea sana Diamond kwamba anatusua kwa msaada wa Mkolomije.. Japo kwenye Mavazi kweli bado Diamond hayupo vizuri kwenye fashion..
 
Halipwi vizuri kwani ww manager wake kama una ushahidi wa mikataba weka hapa.

Kawaulize wasanii wa Mombasa Mondi 2017 kakunja 100m,Uganda mwaka jana kakunja mil 80 show ya mda mfupi tu.Sasa halipwi vizuri ww ulitaka alipwe sh ngapi?

Ndiyo wabongo mnavyodanganywa hivyo kirahisi rahisi tu mnakubali.
 
Kwa hiyo?
 
Wasanii watano wenye shoo utitiri kama Diamond?

Nakutajia 20.
 
Hayo mambo binafsi yanaingiaje? Na mimi sijaongelea issue binafsi za Diamond nimeongelea fani yake tu. Kipaji anacho na ni mtu wa kujituma sana, kasoro ndogo ndogo za kiutendaji zinamkwamisha.

Sanaa bongo inaendeshwa na watu wasio sahihi. Yamoto ingeweza kuwa kama Beatles (kama umewahi kuisikia) ukanda huu ila sijui imefia wapi.
 
Ndiyo wabongo mnavyodanganywa hivyo kirahisi rahisi tu mnakubali.
We usiyedanganywa weka mkataba wa malip ya Diamond?
Tuambie sie tunaodanganywa.
Soma hiyo mchanganuo.NB 5mil Ksh ni zaidi ya milioni 100 za kibongo.
 
Tatizo letu ni wabishi na wajuaji. Wanasiasa wametuharibu tunataka tusifiwe tu tukikosolewa ni vita.
Unakosoa maisha ya mtu binafsi anayetafuta mkate kwa njia yake halali,wewe vipi Diamond sio mwanasiasa,ambao wana wawakilisha wananchi.
 
We usiyedanganywa weka mkataba wa malip ya Diamond?
Tuambie sie tunaodanganywa.
Soma hiyo mchanganuo.NB 5mil Ksh ni zaidi ya milioni 100 za kibongo.
View attachment 1195959

Halafu mambo ya kipato haikuwa hoja yangu ya msingi. Umeacha yote niliyosema unakazania hii utadhani inaondoa ushamba niliosema.

Hizi ulizoweka ni sherehe za kisiasa, lazima msanii atalipwa vizuri labda uwe msanii usiyejitambua thamani yako.
 
Kutumika vibaya kivipi ?
Kwani anaiba au anakula kwenu?
We mwenye maono alimsaidia msanii gani kufikia level ya Diamond?

Watu sahihi wataje?
Wamevumbua vipaji vingapi?
Je na hivyo vipaji vilifika level gani?

Kwani yamoto ndio kundi la kwanza kufa,zamani kulikuwa na Gangwe Mob,East Coast,Wanaume,Wachuja nafaka,Solid groud family,Hot pot family,Nako2Nako ,Daz Nundaz ,Unique Sisters leo hii yapo wapi?

Ukiona mtu anafanya solo si kosa bali anataka kuongeza kipato chake.Hao Migos kundi bora la Hip Hop kwa sasa US akini sasa hivi kila mtu anafanya kazi zake binafsi.
 
Halafu mambo ya kipato haikuwa hoja yangu ya msingi. Umeacha yote niliyosema unakazania hii utadhani inaondoa ushamba niliosema.

Hizi ulizoweka ni sherehe za kisiasa, lazima msanii atalipwa vizuri labda uwe msanii usiyejitambua thamani yako.
Mbona unakuwa kama sigara kali si ulisema sisi tunadanganywa.
Haya hii hapa Uganda 2017 kalipwa Ugashs million 165 sawa na milioni 102 za Tz,je hii nayo ni event ya kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…