Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,884
- 8,924
Aiseeee huu ni wivu Grade1Jamaa kwanza kwenye uvaaji tu bado sana. Na tena afadhali ameacha kuvaa kofia za baridi wakati yuko Madale anatandikwa na jua kali, ilikuwa ni aibu.
Tuje kwenye uimbaji. Kila siku habari za mapenzi tena matusi. Hata kina Michael Jackson wameimba nyimbo za maisha kiujumla, yeye anataka kukaa kimya.
Tuje kwenye uchezaji. Diamond hajaweza kuwa na dance style yoyote iliyotrend Afrika. Kila siku anacopy style tena ambazo zimeshachoka.
Beyonce hakukosea. Bila nguvu za Makonda na CCM, Diamond ni kama Jux tu.
Inashangaza eti kuna mtu anamuweka level moja na Davido!!
Ningetoa ushauri ila sidhani kama utapokelewa kwa mikono miwili.
NYONGEZA: Sina chuki binafsi na Naseeb ila naona kipaji chake hajakitumia kikamilifu. Hana washauri wazuri. Washauri wenyewe nao sasa hivi wako busy wanagombania umaarufu huo huo.
Kiwango cha Sgr kabisa