Diamond Platnumz bado ni mshamba sana

Including you.

Hongera zake ila hachomoki kwa King Davido. Hata Yemi Alade angemkimbiza.

Sijui kwa nini mmeshindwa kuelewa hoja zangu. Nataka tu kumsaidia dogo. Sina wivu na mtu yoyote maishani mwangu.
 
Hongera zake ila hachomoki kwa King Davido. Hata Yemi Alade angemkimbiza.

Sijui kwa nini mmeshindwa kuelewa hoja zangu. Nataka tu kumsaidia dogo. Sina wivu na mtu yoyote maishani mwangu.
Mweupe huna hoja.
 
Toka umefungua huu uzi umeachieve nini kwa kumjadili Diamond kama mshamba?

Pole kamanda kama umekwazika kwa huu mjadala mzito.

Naseeb ni mtu aliyezoea changamoto. Kama amepitia uzi huu au atafikishiwa huu ujumbe ataufanyia kazi na tusubiri tuone matokeo. Ni nyie manazi tu ndiyo mnakwazika.
 
Kwani ww unaonaje?

Mi naona jamaa anaenda kuburuzwa vibaya. Nashauri hata asiatendi hizo awadi. Haha!!

King Davido ametoka kuachia ngoma na CB. Diamond anarekodi na wasanii waliosahaulika kwenye gemu kama yule dogo wa B12 na Hadija Kopa.
 
Mpaka E wamumwona,jua huyo dogo wa B12 wamemuona na ana mchango ktk hiyo single.We jamaa hujui mziki kwani kufanya Collabo na Criss Brown na kuchukua tuzo vina uhusiano gani?

Kila tuzo zina vigezo vyake na ndio maana Angelica Kidjo (Benin) amechaguliwa kuwania tuzo kubwa kuliko zote duniani za GRAMMY award mara 8 na akachukua mara 3.

Mziki ww hujui pumzika kupinga kwako hakumzuii Mondi kuchukua tuzo.Mond kushamgalagaza huyo Davido wako kwenye Channel 0 na MTV EMA,we endelea kubinya p*mbu lkn riziki ya mtu ipo mikononi kwa mtu.
 
Hater zote wana matatizo ya akil
Unamwita mtu mshamba ana mabilioni yamelala benki,ana jumba mbezi beach,anatembelea gari ya milioni 200,kila kukicha yupo angani kufanya show ughaibuni
Wewe unamiliki smartphone tu
 
Tuambie Dance style ya Davido,Davido ndo hajui kuvaa kabisa,anajishindiliaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…