Diamond Platnumz bado ni mshamba sana

Diamond Platnumz bado ni mshamba sana

Jamaa kwanza kwenye uvaaji tu bado sana. Na tena afadhali ameacha kuvaa kofia za baridi wakati yuko Madale anatandikwa na jua kali, ilikuwa ni aibu.

Tuje kwenye uimbaji. Kila siku habari za mapenzi tena matusi. Hata kina Michael Jackson wameimba nyimbo za maisha kiujumla, yeye anataka kukaa kimya.

Tuje kwenye uchezaji. Diamond hajaweza kuwa na dance style yoyote iliyotrend Afrika. Kila siku anacopy style tena ambazo zimeshachoka.

Beyonce hakukosea. Bila nguvu za Makonda na CCM, Diamond ni kama Jux tu.

Inashangaza eti kuna mtu anamuweka level moja na Davido!!

Ningetoa ushauri ila sidhani kama utapokelewa kwa mikono miwili.

NYONGEZA: Sina chuki binafsi na Naseeb ila naona kipaji chake hajakitumia kikamilifu. Hana washauri wazuri. Washauri wenyewe nao sasa hivi wako busy wanagombania umaarufu huo huo.
Ila ana hela kutuzidi sisi sote
 
Mshamba mwenye hela kuliko wewe mjanja usiyejielewa hata mjini ulikuja kufanya nini😀😀😀

Usikariri. Siyo kila mtu alikuja mjini, wengine mjini ndiyo kwetu. Lakini karibu, jisikie nyumbani.
 
We jamaa inaelekea sio mfuatiliaji wa game! Ina maana umeshasahau au hufahamu Wasanii wa Kenya walivyolalamika kwenye show ya Mombasa baada ya Media za Kenya kufichua Mondi alilipwa KSH 5M wakati wasanii wa Kenya hakuna hata mmoja aliyekuwa amelipwa angalau nusu ya hiyo 5M. And man, hiyo ni 5M ya 🇰🇪 kwahiyo piga mwenyewe hesabu kwa pesa za madafu! Hadi Bodi ya Filamu ya Kenya na wenyewe wakaanza figisu kwamba Diamond analipwa pesa nyingi sana Kenya lakini hailipi kodi! Back in the days, huko huko Kenya ikatolewa orodha ya wasanii wanaolipwa mkwanja mrefu zaidi kupitia "COSOTA" ya Kenya! Hapo napo Diamond alikuwa at the top of everyone else including Kenyan Musicians! Na sio tu alikuwa on top of everyone bali pia aliwaacha mbali!

Ile kampeni yao Kenya ya last year ya PLAY KENYA na kuzuia Bongo Flavor iliwalenga akina Diamond kwa sababu wanapiga pesa ndefu Kenya kuliko Wakenya wenyewe!

Hata hapa Bongo, hivi ulishawahi kujiuliza kwanini alikuwa hapigi shows za ndani hadi ilipokuja Wasafi Festival?! In short, Promoters wa Bongo walikuwa hawafikii dau lake! Muulize Erick Shigongo atakueleza vizuri hili! Ungekuwa mfuatiliaji wa game, ungefahamu ama 2017 au 2016 Shigongo na Tale waliparuana sana! Kisa?! Malalamiko ya Shigongo kwamba Diamond anatoza pesa kubwa mno bila kujali kwamba hawatendei haki mashabiki wake wa TZ waliofanya afike hapo alipo! Malalamiko ya Shigongo yalikuja baada ya kumtaka Diamond kwenye show yake pale Dar Live, alipotajiwa price akakimbilia Instagram kulia lia! Kwa unafiki tu Shigongo akataka kuwatumia mashabiki kumbe lengo lake ni la mfanyabiasha yeyote yule!! Amlipe pesa ndogo msanii ili yeye avune maradufu!!

Vijana mnadanganyika sana. Kutofanya show bongo kipindi kile ilikuwa ni mkakati wa kibiashara ili kujiongezea thamani ila hakuna promoter wa kumlipa Diamond Tsh. Milioni 150 kwa kila show. Inaweza kutokea hapa na pale hasa kwenye mambo ya siasa.

Na wote mnakazania kipato chake. Mimi sikuleta hoja za kipato, hoja zangu zipo kwenye post ya kwanza, zijibuni hizo kama mna cha kujibu.
 
Mtoa mada anasema kujua kuvaa no kuvaa mavazi yanayoendana na hali ya mazingira... Kama ujui Stylish bora ukakaa kimya usiandike utumbo...

Wahenga walisema usilolijua ni kama usiku wa kiza. Stylish bado inabidi kuvaa katika mazingira sahihi. Nyie ndiyo mnavaa cropped pants hata mnapoenda kuonana na Rais. ACHENI USHAMBA.

Mngeacha kuwa vichwa ngumu huu uzi ungewasaidia sana.
 
Hivi karne hii bado tu wafuatilia maisha ya wengine! Acha ushamba
 
Wahenga walisema usilolijua ni kama usiku wa kiza. Stylish bado inabidi kuvaa katika mazingira sahihi. Nyie ndiyo mnavaa cropped pants hata mnapoenda kuonana na Rais. ACHENI USHAMBA.

Mngeacha kuwa vichwa ngumu huu uzi ungewasaidia sana.
Wewe jamaa Diamond asanii sio muuza mkaa kama wewe mbona uwelewa wenu mdogo ninyi...ujui fashion wewe waangalie wakina Country Boy ndio ujue fashion ya sasahivi nguo zake nyingi za kama jacket hivi...fashion haingalii hali ya hewa ndio tunaita kuvaa wewe vipi ujawai kuona jamaa kavaa furana jeupe ndani kwa nje kavaa shati la jeans huko ndio kuvaa sio kuvaa kuendana na hali ya hewa.

Kama kitu hujui vyema ukakaa kimya jamaa...ukizungumzia hali ya hewa basi Tz tusinhekuwa na ma designer wa suti maana our entire life joto.

Kuna msemo mmoja “Fashion haingalii hali ya hewa”
 
Wahenga walisema usilolijua ni kama usiku wa kiza. Stylish bado inabidi kuvaa katika mazingira sahihi. Nyie ndiyo mnavaa cropped pants hata mnapoenda kuonana na Rais. ACHENI USHAMBA.

Mngeacha kuwa vichwa ngumu huu uzi ungewasaidia sana.
Angalia iyo picha ya Dogojanga na Bdozen hapo ukiringanisha nani kavaa Dogojanja ndio kavaa...unaitaji kutulia kujua nini maana ya kuvaa kuvaaa hakuangalii hali ya hewa nawashangaaga sana ashamba wanasema Diamond ajui kuvaa eti mcheki kiba anavaa simple kwahiyo kuvaa Simple ndio kuvaa kuna faida gani ya yeye kuwa msanii...Fashion asilimia 80 ni nguo nzito ambazo wewe unaziita za joto kama kwenye picha hizo hao ndio wamevaa unachozungumzia wewe kujistiri sasa kujistiri sisi wote tunajistiri ndio tunajistiri nguo zetu kuendana na mazingira.

So unapoandika kitu uwelewe sio unaandika tu kwaakiri yako inavyokutuma.

Wasanii wanaojua kuvaa
_Country Boy
_Dogojanja
_Diamond
_Jux
_Marioo
_Rayvanny

Wasiojua kuvaa
_alikiba
_christian bella
_FA
_Ommy nk
Screenshot_20190904-082227.jpeg
Screenshot_20190904-082140.jpeg
Screenshot_20190904-082041.jpeg
Screenshot_20190904-082246.jpeg
Screenshot_20190904-081900.jpeg
Screenshot_20190904-082431.jpeg
Screenshot_20190904-082026.jpeg
 
we seven mosha hii nguvu unayotumia kumshambulia mond kwanini usitumie kumbrand msanii wako kiba? unajua kiba akipotea we mjini hapa utakuwa sawa na dada poa tu?
 
Angalia iyo picha ya Dogojanga na Bdozen hapo ukiringanisha nani kavaa Dogojanja ndio kavaa...unaitaji kutulia kujua nini maana ya kuvaa kuvaaa hakuangalii hali ya hewa nawashangaaga sana ashamba wanasema Diamond ajui kuvaa eti mcheki kiba anavaa simple kwahiyo kuvaa Simple ndio kuvaa kuna faida gani ya yeye kuwa msanii...Fashion asilimia 80 ni nguo nzito ambazo wewe unaziita za joto kama kwenye picha hizo hao ndio wamevaa unachozungumzia wewe kujistiri sasa kujistiri sisi wote tunajistiri ndio tunajistiri nguo zetu kuendana na mazingira.

So unapoandika kitu uwelewe sio unaandika tu kwaakiri yako inavyokutuma.

Wasanii wanaojua kuvaa
_Country Boy
_Dogojanja
_Diamond
_Jux
_Marioo
_Rayvanny

Wasiojua kuvaa
_alikiba
_christian bella
_FA
_Ommy nkView attachment 1197265View attachment 1197266View attachment 1197267View attachment 1197268View attachment 1197269View attachment 1197270View attachment 1197271

Unajaza tu seva kwa mapichapicha ya washamba wengine. Kwanza mimi niliongelea kofia za kipindi cha baridi alizokuwa anavaa masaa 24 pamoja na kulala na kuamka nazo wakati yuko Mbagala. Wewe unanieletea habari za suti na majaketi.

Tatizo lenu wajuaji sana. Najaribu kuwaelekeza ukweli ila mnajifanya mmefika, haya!
 
Kumbe kichwa maji hujui hata hoja yako...
 
Wenye dunia yao,kupitia channel kubwa inayozungumzia mastaa wote wa Hollywood E,wamechagua Kuwania tuzo zao .
Screenshot_20190904-205723.png
 
Back
Top Bottom