Yawezekan zipo nyuzi nyingi kuhusu Wasafi FM na TV ila mod naomba usiunganishe uzi huu ili mawazo yangu hatimae yamfikie Fella, Salaam na Tale.
Ninashauri hawa wasemaji wawili Manara na Muro, kama sio wote basi mmoja wapo apewe kitengo pale station.
Ila tu kisihusiane na Michezo kukwepa maslahi mgongano.
Nifikishieni ujumbe huu.
Kwenye list yangu wapo pia :
1. Saigon
2. Salam Jabir
3. Dj Fetty
4. John Karani
5. TID
6. Jay Dee
7. mtaje wewe .....
Ukiweza kumtoa SALUM KIKEKE BBC hapo ndo utakuwa umemaliza kabisa, utapiga bao usilolitarajia.
Nifikishie ujumbe.