Diamond Platnumz, Haji Manara na Jerry Muro

Diamond Platnumz, Haji Manara na Jerry Muro

Private investigator

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
303
Reaction score
287
Yawezekan zipo nyuzi nyingi kuhusu Wasafi FM na TV ila mod naomba usiunganishe uzi huu ili mawazo yangu hatimae yamfikie Fella, Salaam na Tale.
Ninashauri hawa wasemaji wawili Manara na Muro, kama sio wote basi mmoja wapo apewe kitengo pale station.
Ila tu kisihusiane na Michezo kukwepa maslahi mgongano.
Nifikishieni ujumbe huu.
Kwenye list yangu wapo pia :
1. Saigon
2. Salam Jabir
3. Dj Fetty
4. John Karani
5. TID
6. Jay Dee
7. mtaje wewe .....

Ukiweza kumtoa SALUM KIKEKE BBC hapo ndo utakuwa umemaliza kabisa, utapiga bao usilolitarajia.

Nifikishie ujumbe.
 
Umechunguza nini kwa watu hawa mana nyie intelligencia kazi zenu ngumu au uko kazini mkuu?
 
8. Zamaradi Mketema.
9. Zuhura Yunus
 
Huwezi ishi nyumba ya mil 70 afu studio mil 800...

Binafsi naona bado mapichapicha tu kama Chibu perfume!!
 
Saigon sasa
Hivi ni ustaadh kaachana na miziki

Nasikia yupo Radio Iman ya Morogoro na kinachowasaidia pale kutoka kwake pia ni lugha ya malkia jamaa yupo vzr kwa lugha hiyo kama ujuavyo ma ustadhi kwa lugha hiyo sio sana wao ni ' lughat l-arabia ' ndo wapo njema
 
Back
Top Bottom