Diamond Platnumz hamishia shughuli zako Marekani kwa muda

Diamond Platnumz hamishia shughuli zako Marekani kwa muda

Chukua hata uraia wa marekani kwa muda ukane huu wa bongo.

ukifika kule anzia chini kabisa,jishushe fanya remix ya nyimbo zako hasa zile za zamani ukiimba kiingereza kwa wingi kiswahili kidogo.

imba hata barabarani na na kwenye mikusanyiko ya watu wengi fanya show za bure,fanya interview kwenye radio na tv stations za huko hata kwa kulipia.
hapa utapata mafans wa kustream kazi zako kwenye platform zinazolipa kama i tunes, n.k

jifunze namna wenzetu wanavyo sambaza kazi zao,wanavyotengeza pesa nyingi uje ulete mbinu bongo.

miaka michache ijayo utakuwa msanii bilionea in dollar kama akina drake na justin beiber na dunia nzima itawajua akina mama dangote na uncle shamte na utauza reality show kama wanavyofanya kina kim kadashian.

utapiga show kwenye kumbi kubwa zaidi duniani huko paris, london kwa sold out na utakuza uchumi wa tanzania na sanaa yake kwa ujumla.

hata akina wizkid watakuja kuomba collabo na utakuwa na kiburi mbele ya ccm.

au mnasemaje madau??
Shule ulienda kupanga matofali
 
Hivi unajua asilimia 80% ya wamarekani hawawezi taja nchi 3 za africa.ni kama kumshauri star wa kijeruman abadili nyimbo zake za kijerumani aje apambane na nyimbo kama inama ya diamond
ok, kwa hiyo ina maana muziki wetu hawawezi kuusikiliza hata bure?
lakini mbona hawa bts wa korea wanasikilizwa pia akina luis fonsi na bad bunny wanaotumia spanish?
 
labda ni kweli lakini nadhani nachotaka kusema ni kwamba marekani kuna fursa kwa wasanii may be you may suggest how our artists may exploit that opportunity.
Marekani Hakuna fursa kwa mtu mweusi kihivyo. Mifumo ya kimarekani haikujengwa kwa mtu mweusi.

Kwanza akienda US hakuna anayemjua ataishi Kama chokoraa mweusi mwingine.

Tuna wasanii wetu hapa kama Ray C, Mavoko, Hussen Machozi waliwahi kuhamishia shughuli zao za Muziki hapo Nairobi tu, walibuma kinoma.

Ubaguzi Kama kawaida, atakuwa anapambana na Vita ya ubaguzi kuanzia asubuhi mpaka jioni.

Huo mziki unaomdanganya atafanya ni uongo. Kwanza akienda huko atakuwa underground tu tena choko mhamiaji, hatakuwa na heshima anayopata huku.

Labda afanye Clown, kujipata midude na kwenda kutisha watu kwenye birthday zao. Huku akitafunwa na upweke.

Utamu wa Ulaya na US ni fursa za kazi ( I mean kazi zinazodhaurika lakini Zina pesa kibongo bongo) na ukishachuma unakuja Africa kuishi Kama Mfalme.

Usidanganyike na maisha ya US na Ulaya unayoyaona kwenye TV.

Shule ulienda kupanga matofali
ok, jaribu kunielewa hivi,
marekani ni nchi ya fursa kwa sekta nyingi ikiwemo ya burudani.
wasanii kama bts, bad bunny, wizkid ,burnaboy, n.k kutoka mataifa mbalimbali wanaenda kufanya matamasha kule na kupata fedha nyingi sana.
je wasanii wetu waweza kutumia vipi fursa hiyo?
 
Yaani atahamisha uchumi wangu Marekani Kwa ruhusa ya nani kwanini nani kamruhusu aisee nitakula Nini akihamisha huko ??
Wewe vipi?
Mbona diamond simjui hanijui Kwa Nini ahamishe uchumi wangu kupeleka kwingine??
 
Marekani Haku

Ua jioni.

takuwa underground tu tena choko mhamiaji, hatakuwa na heshima anayopata huku.

Labda afanye Clown, kujipata midude na kwenda kutisha watu kwenye birthday zao. Huku akitafunwa na upweke.

Utamu wa Ulaya na US ni fursa za kazi ( I mean kazi zinazodhaurika lakini Zina pesa kibongo bongo) na ukishachuma unamaisha ya US na Ulaya unayoyaona kwenye TV.
unasema marekani hakuna fursa kwa weusi wakati asilimia kubwa ya mastaa wake akina will smith, jay z,lebron james kanye west ni weusi na wana ukwasi wa kutisha? Ubaguzi upo lakini haukatishi uchumi wako.
hakuna anayemjua kweli ndio maana nimesema aanzie chini kwa kujitangaza zaidi na uwezo wa kusurvive kiuchumi anao.

hao kina mavoko mbona hata huku wamebuma lakini diamond ni tofauti.

advantage kubwa ya us na ulaya ni uchumi mkubwa walio nao ambao huwezesha wasanii kulipwa fedha nyingi. Akon karudi afrika na ukwasi wa karibu 80m $.
 
Kwanza diamond mwenyewe anaimba nini?
Hebu mchukue muweke aimbe live band uone kitachotokea.
Tz amekua rahisi kutoka kimuziki sababu tumezoea makelele hatujui maana ya mziki.akineda huko marwkani ndo atachemka kabisa..labda watz wanaoishi huko ndo wassupport anachoimba..but black americans???
We mdada una chuki na mkwe wa khadija kopa 😂
 
Bila kuuza nafsi yako utoboi huko juu, underground tele wamejaa huko na bado awajatoboa
umeongea point mkuu, lakini hata hapa bongo kuna underground kibao ambapo mondi ni kama mfalme kwa muziki huu, je ina maana naye kauza nafsi?
kama kauza kumbe njia itakuwa rais kwake.
hata ivyo bora kuwa underground marekani kuliko kuwa star bongo.
 
Chukua hata uraia wa marekani kwa muda ukane huu wa bongo.

ukifika kule anzia chini kabisa,jishushe fanya remix ya nyimbo zako hasa zile za zamani ukiimba kiingereza kwa wingi kiswahili kidogo.

imba hata barabarani na na kwenye mikusanyiko ya watu wengi fanya show za bure,fanya interview kwenye radio na tv stations za huko hata kwa kulipia.
hapa utapata mafans wa kustream kazi zako kwenye platform zinazolipa kama i tunes, n.k

jifunze namna wenzetu wanavyo sambaza kazi zao,wanavyotengeza pesa nyingi uje ulete mbinu bongo.

miaka michache ijayo utakuwa msanii bilionea in dollar kama akina drake na justin beiber na dunia nzima itawajua akina mama dangote na uncle shamte na utauza reality show kama wanavyofanya kina kim kadashian.

utapiga show kwenye kumbi kubwa zaidi duniani huko paris, london kwa sold out na utakuza uchumi wa tanzania na sanaa yake kwa ujumla.

hata akina wizkid watakuja kuomba collabo na utakuwa na kiburi mbele ya ccm.

au mnasemaje madau??
Anza wewe ,huku USA watu sio wajinga kama huko kwenu
 
Strategies za masoko ya mziki haziko hivyo ulivyoandika, kuna watu wengi wanafanya wanachofanya huko huko U.S.A ila bado hawajatoboa. Shida ni kwamba umemuweka Diamond kwenye viwango ambavyo hayupo hivyo unajikuta hauridhishwi na hiki anachokifanikisha.
Kwasasa aamue kuinuka kama mwimbaji wa Bongofleva au mwimbaji wa aftobeats, na baada ya kufanikisha hapo akazie sana tena sana kwenye audio production na marketing (Kilometre na 23 za Burna Boy zinaonekana kuwa na uhai mkubwa kuliko Wonder ya Dplatnumz, si kwa ubaya akiongeza mkazo kwenye production na market anaenda).
Production ya bongo inamng'ang'ania S2kizzy mpaka anajikuta anapoteza ubunifu (though sio kila msanii ufanya kazi kwa s2kizzy).

No offence intended (kama utaanza kufuka moshi fanya hivyo at your own cost and time)
 
labda ni kweli lakini nadhani nachotaka kusema ni kwamba marekani kuna fursa kwa wasanii may be you may suggest how our artists may exploit that opportunity.
Una mawazo mazuri ila tukiangalia uhalisia ni kwamba haiwezekani!
Hata tuweke positivity mbele haiwezekani!
1.lugha kwa huyo jamaa haipandi
2.anajua kuimba nyimbo za makelele tupu..amelowea kwenye utamaduni wa kiswahili sio wa kishua kama wakina davido..
3.kupata uraia marekani ni ngumu saana...inaweza kuchukua miaka.
4.mwanamuziki mwenye jina east Africa nzima hadi west akaanze kukaa kwenye zege mtaani anaimba anarushiwa shilingi .does it make sense?
 
Back
Top Bottom