Shule ulienda kupanga matofaliChukua hata uraia wa marekani kwa muda ukane huu wa bongo.
ukifika kule anzia chini kabisa,jishushe fanya remix ya nyimbo zako hasa zile za zamani ukiimba kiingereza kwa wingi kiswahili kidogo.
imba hata barabarani na na kwenye mikusanyiko ya watu wengi fanya show za bure,fanya interview kwenye radio na tv stations za huko hata kwa kulipia.
hapa utapata mafans wa kustream kazi zako kwenye platform zinazolipa kama i tunes, n.k
jifunze namna wenzetu wanavyo sambaza kazi zao,wanavyotengeza pesa nyingi uje ulete mbinu bongo.
miaka michache ijayo utakuwa msanii bilionea in dollar kama akina drake na justin beiber na dunia nzima itawajua akina mama dangote na uncle shamte na utauza reality show kama wanavyofanya kina kim kadashian.
utapiga show kwenye kumbi kubwa zaidi duniani huko paris, london kwa sold out na utakuza uchumi wa tanzania na sanaa yake kwa ujumla.
hata akina wizkid watakuja kuomba collabo na utakuwa na kiburi mbele ya ccm.
au mnasemaje madau??
ok, kwa hiyo ina maana muziki wetu hawawezi kuusikiliza hata bure?Hivi unajua asilimia 80% ya wamarekani hawawezi taja nchi 3 za africa.ni kama kumshauri star wa kijeruman abadili nyimbo zake za kijerumani aje apambane na nyimbo kama inama ya diamond
Marekani Hakuna fursa kwa mtu mweusi kihivyo. Mifumo ya kimarekani haikujengwa kwa mtu mweusi.labda ni kweli lakini nadhani nachotaka kusema ni kwamba marekani kuna fursa kwa wasanii may be you may suggest how our artists may exploit that opportunity.
ok, jaribu kunielewa hivi,Shule ulienda kupanga matofali
unasema marekani hakuna fursa kwa weusi wakati asilimia kubwa ya mastaa wake akina will smith, jay z,lebron james kanye west ni weusi na wana ukwasi wa kutisha? Ubaguzi upo lakini haukatishi uchumi wako.Marekani Haku
Ua jioni.
takuwa underground tu tena choko mhamiaji, hatakuwa na heshima anayopata huku.
Labda afanye Clown, kujipata midude na kwenda kutisha watu kwenye birthday zao. Huku akitafunwa na upweke.
Utamu wa Ulaya na US ni fursa za kazi ( I mean kazi zinazodhaurika lakini Zina pesa kibongo bongo) na ukishachuma unamaisha ya US na Ulaya unayoyaona kwenye TV.
Huyu jamaa unaweza mzaba hata kibaoKwahiyo Diamond akienda America ndo atainua uchumi wa Tanzania....? Pathetic!
We mdada una chuki na mkwe wa khadija kopa 😂Kwanza diamond mwenyewe anaimba nini?
Hebu mchukue muweke aimbe live band uone kitachotokea.
Tz amekua rahisi kutoka kimuziki sababu tumezoea makelele hatujui maana ya mziki.akineda huko marwkani ndo atachemka kabisa..labda watz wanaoishi huko ndo wassupport anachoimba..but black americans???
umeongea point mkuu, lakini hata hapa bongo kuna underground kibao ambapo mondi ni kama mfalme kwa muziki huu, je ina maana naye kauza nafsi?Bila kuuza nafsi yako utoboi huko juu, underground tele wamejaa huko na bado awajatoboa
Anza wewe ,huku USA watu sio wajinga kama huko kwenuChukua hata uraia wa marekani kwa muda ukane huu wa bongo.
ukifika kule anzia chini kabisa,jishushe fanya remix ya nyimbo zako hasa zile za zamani ukiimba kiingereza kwa wingi kiswahili kidogo.
imba hata barabarani na na kwenye mikusanyiko ya watu wengi fanya show za bure,fanya interview kwenye radio na tv stations za huko hata kwa kulipia.
hapa utapata mafans wa kustream kazi zako kwenye platform zinazolipa kama i tunes, n.k
jifunze namna wenzetu wanavyo sambaza kazi zao,wanavyotengeza pesa nyingi uje ulete mbinu bongo.
miaka michache ijayo utakuwa msanii bilionea in dollar kama akina drake na justin beiber na dunia nzima itawajua akina mama dangote na uncle shamte na utauza reality show kama wanavyofanya kina kim kadashian.
utapiga show kwenye kumbi kubwa zaidi duniani huko paris, london kwa sold out na utakuza uchumi wa tanzania na sanaa yake kwa ujumla.
hata akina wizkid watakuja kuomba collabo na utakuwa na kiburi mbele ya ccm.
au mnasemaje madau??
Una mawazo mazuri ila tukiangalia uhalisia ni kwamba haiwezekani!labda ni kweli lakini nadhani nachotaka kusema ni kwamba marekani kuna fursa kwa wasanii may be you may suggest how our artists may exploit that opportunity.