Diamond platnumz hamuwezi kumshusha kwa fitina na chuki..Ripoti kutoka Mtaani Tazama hapa mashabiki wa damu

Diamond platnumz hamuwezi kumshusha kwa fitina na chuki..Ripoti kutoka Mtaani Tazama hapa mashabiki wa damu

Katika jamii yoyote upendo hujengwa kwa kuanza na misingi

Licha ya kuwa watu mbali mbali hasaa mitandaoni kuibuka na kuungana kwa kuonesha chuki za wazi juu ya msanii Diamond platnamz .Bado wameshindwa kwa maana Diamond tayari alisha jenga misingi na anapendwa na watu wengi

Katika kuthibisha hilo ripoti ya mtaani inaonesha kwanza wimbo wa zilipendwa unapendwa zaidi na kupigwa kuliko nyimbo yoyote tanzania

Mashabiko mbali mbali bila hata promo wameonekana wakiucheza wimbo huo katika style ya comedy zaidi huku wengine wakisimama barbarani wakimtaja diamond na kumpongeza

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbe mashabiko nlijua mashabiki! Kwanu wanaotazama YouTube ambapo bwana diamond kaachwa mbaal ni akina nani? Siyo MASHABIKO wake!
 
Tumechoka na nyie waleta mada za dimond. Dimond tunampenda kwa upande wake na kiba tunampenda kwa upande wake. Wimbo wa kiba mzuri huo ndio ukweli sasa nyie mmekalia kukompare ana kontrasti tuuu toka mwenzenu atoe nyimbo hapo ndipo mnadhihirisha mna chuki wivu na vijicho. Kwa nini msifanye yenu? Wenyewe wanakula matunda ya kaxi yao ww unapewa hata miambili??, hebu tupumzishe sie,kwani kuna mtt humu wa kuambiwa yule ni nani huyu ni nani? Au mziki mzuri ni ule huu ni mbaya,
 
True fact
Unajua kwamba...Death is the only adventure I have left.

I'm just curious kujua kuna nini huko upande wa pili!? Hopefully we gonna have a lots of fun maana wanyamwez kibao washatangulia hapa Bob marley, hapa lucky dube, hapa Tupac...pale Michale Jackson.. Pale Whitney Houston... Kwa mbali ngwea...then Remmy ongala. Mara surprise baba kambarage.

Duniani bata limeisha, bata liko upande wa pili huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee naogopa ila hakuna namna ya kukikwepa.
Upande wa pili ni fumbo kubwa ndo maana wanaoenda hawana ruhusa ya kurudi hata ndotoni kuhadithia wayaonayo huko.
Mimi niko tofauti sana tangia nijifunze kuishi rohoni nimeanza kukichukulia kifo kama kubadilisha tu ndinga unashuka hii then unapanda ile kutoka kuishi mwilini then tunaamia kuishi rohoni simple as that.

Ukifikiria mwili kuoza na kuachwa kaburini mwenywe ndo ufahamu unavurugwa kabisaaa. Ila kifo kina siri kubwa saana. mshana jr help out should we fear death or what!?

mshana jr atakuja kesho kufafanunua na uzi mwingine
 
Mbona na nyie hamtaki kuona mafanikio ya Kiba...
Ina maana yeye hastahili mafanik
Mbona na nyie hamtaki kuona mafanikio ya Kiba...
Ina maana yeye hastahili mafanikio au?
Hapana mkuu ni kwamba hizi timu zimejaa chuki..Na kiba yeye hajitumi kwenye Kazi kama mwenzake na mwenzakw akifanikiwa anaona wivu hili suala halifai kabisa sababu MTU huvuna alichokipanda sasa chuki za nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana mko kazini. Naona ametumia njia nyingi kupoteza seduce. Mara ndoa mara nyimbo ya Fid Q, mara kutukana mother fucker mtandaoni cjui alikua anamutukana mamaake. Sielewagi maana ya mother fucker ila najua mother ni mama mzazi

Sasa naona amekuja nahuu upuuzi. Kwani kuna mtu amesema anataka kumshusha niyeye tu atajishusha.
Anakuja na jeuri ya nyumba, magari ajiulize mme mwenzie yuko wapi sahivi. Ambao alikua hamfikii hata robo.
Bora Le mutuzi ever humbled

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika jamii yoyote upendo hujengwa kwa kuanza na misingi

Licha ya kuwa watu mbali mbali hasaa mitandaoni kuibuka na kuungana kwa kuonesha chuki za wazi juu ya msanii Diamond platnamz .Bado wameshindwa kwa maana Diamond tayari alisha jenga misingi na anapendwa na watu wengi

Katika kuthibisha hilo ripoti ya mtaani inaonesha kwanza wimbo wa zilipendwa unapendwa zaidi na kupigwa kuliko nyimbo yoyote tanzania

Mashabiko mbali mbali bila hata promo wameonekana wakiucheza wimbo huo katika style ya comedy zaidi huku wengine wakisimama barbarani wakimtaja diamond na kumpongeza

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyie hamjui tu. Mond sio mjinga. Haya yote ameyaanzisha ili kuzima vuguvugu la mwanae kwa mobeto.

Yaani amefanikiwa kwa kiasi kikubwa maana anamtegemea sana zari kuliko mnavyofikiri nyie.

Great thinkers wameshajua namaanisha nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana mko kazini. Naona ametumia njia nyingi kupoteza seduce. Mara ndoa mara nyimbo ya Fid Q, mara kutukana mother fucker mtandaoni cjui alikua anamutukana mamaake. Sielewagi maana ya mother fucker ila najua mother ni mama mzazi

Sasa naona amekuja nahuu upuuzi. Kwani kuna mtu amesema anataka kumshusha niyeye tu atajishusha.
Anakuja na jeuri ya nyumba, magari ajiulize mme mwenzie yuko wapi sahivi. Ambao alikua hamfikii hata robo.
Bora Le mutuzi ever humbled

Sent using Jamii Forums mobile app
Wafaa kubinuliwa, tukutane PM mrembo.
 
Back
Top Bottom