Diamond Platnumz hashikiki kwa kutazamwa zaidi YouTube Afrika

Diamond Platnumz hashikiki kwa kutazamwa zaidi YouTube Afrika

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1682752596830.jpeg

Nyota wa Bongo Flava kutoka Tanzania, #DiamondPlatnumz ameendelea kushikilia rekodi ya kuwa msanii wa Afrika ambaye kazi zake zinatiririshwa (Streamed) zaidi kupitia YouTube akiwa na 'Streams' zaidi ya Bilioni 2.14.

Pia, 'Simba' anashikilia rekodi ya kuwa msanii mwenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao huo (Bilioni 7.65) kwa upande wa Nchi zilizopo chini ya Sahara.
#BurnaBoy anaongoza kwa kufikia Streams Bilioni 2.05 kwa upande wa Afrika Magharibi wakati #FallyIpupa akiongoza kwa Afrika ya Kati akiwa na 'Streams' Bilioni 1.4.

TOP CHARTS AFRICA
 
Back
Top Bottom