Diamond Platnumz hawa watoto wa Burundi ni wako

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768

Nakupongeza.
Ulitoa wito mwenyewe... Wanawake woote wanaohisi wana wanao walete watoto..

Huyu kajitoa.
Hakuna cha DNA hapo..

Hongera.

UPDATE.......

Tuendelee kusubiri umbea huu.. Anakuja.
 

Attachments

  • IMG_20170925_185024_230.jpg
    33.9 KB · Views: 54
Watoto wazuri........kiba kapata mpnzani kweli kwa hili naona kiba haoni ndani.

Ina maana huyu dai kila akienda show lazma apige show ya kitandani sio(ugenini)?

Kweli anajua kuliwakilisha taifa
 
Kuna uwezekano Diamond akaitwa ikulu kunywa Juice ya Miwa.....
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]dah ameua huyu binti aisee....hiko kiswahili
 
Aiseee Madale kunawaka moto sasa....Inabidi Ommy Dimpoz aende Burundi akachukue wajukuu zake maana huyo wa kushoto ni Tiffah mtupu
 
Mimi ninachojiulizaga huwa wanapimana kwanza ngoma au wanapga kavukavu tu? Dah watu hawaogapagi ngwengwe asee...au ndo wasanii hawanaga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…