Diamond Platnumz hawa watoto wa Burundi ni wako

Diamond Platnumz hawa watoto wa Burundi ni wako

Hahahah batoto badiamond bachukuliwe bapelekwe bamadale
 
Huu ni uongo uliotukuka, hicho kiswahili chenyewe tu ni cha mbongo anayefikiri warundi wanaongea hivyo! Kuna maneno mengi yamewekwa ni mbongo pekee ndiye anaeweza kuyatumia!
Hicho ni kiswahili cha wakongo mani either wabembe warundi hawaongei hivyo aliewahi kaa kigoma anaweza nielewa
 
Sasa mume expose picha za hao Malaika wa Mungu mitandaoni bila utashi wao, mna violate haki zao jamani.
 
Mimi ninachojiulizaga huwa wanapimana kwanza ngoma au wanapga kavukavu tu? Dah watu hawaogapagi ngwengwe asee...au ndo wasanii hawanaga?

acha uoga dogo NGOMA HAIPO NA HAIJAWAHI KUWEPO...HIZO NI PROPAGANDA ZA WAZUNGU KUZUIA TUSIONGEZEKE NA KUTULETEA MIKONDOM...NASEMA FYATUENI TUU.
 
Watoto wazuri........kiba kapata mpnzani kweli kwa hili naona kiba haoni ndani.

Ina maana huyu dai kila akienda show lazma apige show ya kitandani sio(ugenini)?

Kweli anajua kuliwakilisha taifa
Na anapiga kavu
 
Amesema anakuja....
Kulalekii....

Hahaahaa...
 
Huyo muandishi utadhani anaanfika verse, kaweka vina na mizani kinyumenyume...kila neno lina b......huyo ni mbongo katengeneza story kumchafua diamond,....wtz tuache hayo mambo jamani,....
 
Mimi ninachojiulizaga huwa wanapimana kwanza ngoma au wanapga kavukavu tu? Dah watu hawaogapagi ngwengwe asee...au ndo wasanii hawanaga?
Ngwengwe unapata ww tu.wasanii hawapati
 
Hahaha waburundi hawaongei hivyo kabisa labda wakongo...
 
Drama-1-632x1024.jpg

Nakupongeza.
Ulitoa wito mwenyewe... Wanawake woote wanaohisi wana wanao walete watoto..

Huyu kajitoa.
Hakuna cha DNA hapo..

Hongera.
Huyu wa Kushoto kwetu (kulia kwao) ni Tiffa mtupu huyu, yaani huulizi,
 
Back
Top Bottom