Diamond Platnumz haya mafuvu yana maana gani?

Wewe ndio huendelei, kaa kimya!! wenzako tunaendelea na tunazidi kuendelea, huelewi maana ya forum???
Hujanielewa nani hajui maana ya forum?
Hatuendelei kwasababu tunaamini mambo ambayo sio rahisi kuwepo hapa duniani.
 
Mwalimu siku zote hujibu kwa hekima na busara,
chochote anachotoa huwa anakuwa na sbb.
Heshimu mawazo ya watu
Mtu anafanikiwa kwa juhudi zake sio kila aliefanikiwa ni Freemason
 
Kama anaamini ndio yamempandisha basi ndio yatakayo mshusha.
 
Imebidi nicheke sababu hata mengine yataulizwa pia. Ni furaha kuona anaongelewa kila kukicha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…