Diamond Platnumz haya mafuvu yana maana gani?

Diamond Platnumz haya mafuvu yana maana gani?

Wewe ndio huendelei, kaa kimya!! wenzako tunaendelea na tunazidi kuendelea, huelewi maana ya forum???
Hujanielewa nani hajui maana ya forum?
Hatuendelei kwasababu tunaamini mambo ambayo sio rahisi kuwepo hapa duniani.
 
Kama anaamini ndio yamempandisha basi ndio yatakayo mshusha.
 
Imebidi nicheke sababu hata mengine yataulizwa pia. Ni furaha kuona anaongelewa kila kukicha.
 


13551772_1755797064637245_1811330187_n.jpg


Am just curious, haya mafuvu ya dhahabu na silver/diamond, au ndio ufreemason wenyewe??

Ni misukule iyo aya ushajua kifuatacho...
 
Back
Top Bottom