Diamond Platnumz hili la kumfananisha demu (msichana) wako na Yesu (Mungu) utuombe radhi wakristo na utubu au wimbo wake ufungiwe na BASATA

Wewe jamaa ni muongo sana na unalengo la kumchafua Diamond ili wakristo wamchukie ila umefeli!unajua kwanini?!kwasababu Diamond ndio uchafu wenyewe kwahiyo huwezi kuuchafua Uchafu sanasana utakuchafua wewe!

Umeruka neno Petro na umeedit baadhi ya maneno kwenye mashairi ili dhamira yako itimie!Endelea na chuki zako ambazo hazifiki kokote
 
Mtoa mada unazingua
 
Diamond kashaanza kuwa mpumbav...anatufosi tuhamie konde gang sasa japo wote mambo ya kithenge hamba wa nafuu. Nabaki na Navy Kenzo
 
Kwani umelazimishwa kumshabikia?fans aliyonao Ni wengi Sana kuliko msanii yoyote hapa bongo
 
Nimeusikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz uitwao ongeza kiukweli anatakiwa atafute mhariri wa mashairi na mistari yake. Kwenye ngoma ya ongeza anasema "we ndo wangu yesu mkombozi sa mbona unaniacha mwenyewe" anamuongelea mwanamke/ msichana/demu wake.

Kwa hili Diamond hapana umeenda mbali mno na umetukosea Wakristo. Hivi mkristo aimbe wimbo amljnganishe demu wake na Mtume Mohammad au Allah atakuwa sawa?

Kwetu Wakristo Yesu ni Mungu kweli, mtu kweli Yohana Mtakatifu 1:1-10. Yesu ni Mungu mwana katika nafsi tatu za Mungu zinazofanya Utatu Mtakatifu.

Yesu aliacha kiti chake cha nzi kule mbinguni akauvaa mwili akashuka duniani ili atufie na kutukomboa sisi na dhambi zetu. Alisulubiwa akafa, akazikwa siku ya tatu akafufuka na sasa ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba na hapa tulipo tunasubiri arudi aje awahukumu walio hai na wafu. Maana ameahidi anakwenda kwa Baba kutuandalia makao na atakuja kutuchukua ili alipo nasi tuwepo. Je ni Yesu huyu wa kumlinganisha na demu wake kweli Diamond Platnumz?

Yesu huyu ambaye alikuwepo kabla ya ulimwengu kuumbwa ambaye maandiko yanasema vitu vyote viliumbwa kwa jina lake na pasipo yeye hakuna kilichoumbwa? Huyu ndiyo wa kumlinganisha na demu.

Ni kweli sanaa inahitaji ubunifu lakini siyo kwa kiwango hiki Diamond aombe radhi kwa kweli au wimbo wake ufungiwe na BASATA.
"aliacha kiti cha nzi"

BTw wakristo hatunaga nongwa kama upande ule mwingine....wacha lipite tuu
 
Kwani Yesu Kristo alikuja kwa ajili ya kila mtu?
Swali lako halina mantiki.

Kama hakuja kwa ajili ya kila mtu, sasa unashangaa nini ikiwa wengine hawamtambui kama unavyomtambua wewe?

Kama kaja kwa ajili ya kila mtu, je, hilo tu linafanya iwe lazima kila mtu amtambue?
 
"aliacha kiti cha nzi"

BTw wakristo hatunaga nongwa kama upande ule mwingine....wacha lipite tuu
Wanaomshikia bango Diamond hata Ukristo hawaujui.

Yani kama Diamond kakosea, ukristo unawataka watu wamuombee tu.

Na kumsamehe hata mara sabini mara saba.

" Matthew 18:21, 22. Then Peter came up and said to him, "Lord, how often shall my brother sin against me, and I forgive him? As many as aeven times?" Jesus said to him, "I do not say to you seven times, but seventy times seven."
 
Wewe jamaa ni muongo sana na unalengo la kumchafua Diamond ili wakristo wamchukie ila umefeli!unajua kwanini?!kwasababu Diamond ndio uchafu wenyewe kwahiyo huwezi kuuchafua Uchafu sanasana utakuchafua wewe!

Umeruka neno Petro na umeedit baadhi ya maneno kwenye mashairi ili dhamira yako itimie!Endelea na chuki zako ambazo hazifiki kokote
Fact jamaaa nuongo Kama acid ya HCL
 
Diamond kashaanza kuwa mpumbav...anatufosi tuhamie konde gang sasa japo wote mambo ya kithenge hamba wa nafuu. Nabaki na Navy Kenzo
Nenda huko konde gang maana haumpunguzii kitu chochote Diamond platinumz maybe , ndo ulikuwa unamuharibia sawa.
 
Nimeusikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz uitwao ongeza kiukweli anatakiwa atafute mhariri wa mashairi na mistari yake. Kwenye ngoma ya ongeza anasema "we ndo wangu yesu mkombozi sa mbona unaniacha mwenyewe" anamuongelea mwanamke/ msichana/demu wake.

Kwa hili Diamond hapana umeenda mbali mno na umetukosea Wakristo. Hivi mkristo aimbe wimbo amljnganishe demu wake na Mtume Mohammad au Allah atakuwa sawa?

Kwetu Wakristo Yesu ni Mungu kweli, mtu kweli Yohana Mtakatifu 1:1-10. Yesu ni Mungu mwana katika nafsi tatu za Mungu zinazofanya Utatu Mtakatifu.

Yesu aliacha kiti chake cha nzi kule mbinguni akauvaa mwili akashuka duniani ili atufie na kutukomboa sisi na dhambi zetu. Alisulubiwa akafa, akazikwa siku ya tatu akafufuka na sasa ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba na hapa tulipo tunasubiri arudi aje awahukumu walio hai na wafu. Maana ameahidi anakwenda kwa Baba kutuandalia makao na atakuja kutuchukua ili alipo nasi tuwepo. Je ni Yesu huyu wa kumlinganisha na demu wake kweli Diamond Platnumz?

Yesu huyu ambaye alikuwepo kabla ya ulimwengu kuumbwa ambaye maandiko yanasema vitu vyote viliumbwa kwa jina lake na pasipo yeye hakuna kilichoumbwa? Huyu ndiyo wa kumlinganisha na demu.

Ni kweli sanaa inahitaji ubunifu lakini siyo kwa kiwango hiki Diamond aombe radhi kwa kweli au wimbo wake ufungiwe na BASATA.
Wewe hebu acha uhanangwa,yesu mungu kwako,lakini yesu pia ni mtume kwa waislam.Hayupo upande wako tu.
 
Swali lako halina mantiki.

Kama hakuja kwa ajili ya kila mtu, sasa unashangaa nini ikiwa wengine hawamtambui kama unavyomtambua wewe?

Kama kaja kwa ajili ya kila mtu, je, hilo tu linafanya iwe lazima kila mtu amtambue?
Mantiki yake ni hii kama unadhani hakuja kwa ajili yako why care? Wawezaje kukaa ukijadili habari za Tuisila Kisinda kama wewe sio shabiki wa mpira? Kwa nini kutafuta kuteguka ubongo bila sababu? Vinginevyo nawe kwa namna moja au nyingine UMEGUSWA!!
 
What is caring?

Na ikiwa Diamond anamuona Yesu kama mtu tu, Mwanafalsafa, Mwalimu, lakini si Mungu, wewe una malaka gani ya kumkataza kumtaja hivyo?

Una uhuru gani wa kumuwekea Diamond mipaka ya kuandika mashairi yake kwamba asimtaje Yesu kama mtu tu?

Uhuru huo unaupata wapi?

Na kama kweli huyo Yesu ni Mungu, na hapendi kuimbwa hivyo, kwa nini asijitetee mwenyewe kwa kumpatiliza Diamond, kwa nini wewe uhitaji kumtetea Mungu mwenye uwezo wote?

Huoni kwamba hapo unamfanya Mungu wako kuwa kinyago kisichoweza kujitetea?

Mimi leo nikikwambia Yesu alikuwa tapeli tu. Kwa sababu aliwaambia watu atarudi kabla hawajafa, watu wakauza mali zao wakimsubiri arudi. Na kwamba
leo zaidi ya miaka 2000 hajarudi, utanibishia?

Utabisha kwamba Yesu, kwa mujibu wa Biblia, hakuwa tapeli?
 
Try mohammad
 
Back
Top Bottom