Diamond Platnumz hili la kumfananisha demu (msichana) wako na Yesu (Mungu) utuombe radhi wakristo na utubu au wimbo wake ufungiwe na BASATA

Ufahamu wangu na wako ni mbingu na ardhi. So sihitaji kubishana nawe.
 
Try mohammad
Unamlaumu Diamond kwa kumtaja Yesu, halafu wewe unamtaja Muhammad.

Muhammad mbona Charlie Hebdo washamchora katuni.

Umekubali Yesu tapeli?
Hizi hadithi za Yesu na Muhammad zote ni hadithi za watu, kuandika tamaduni zao, hakuna mtume wala Mungu.

Na kama wewe Mdengereko umelishwa matango pori kuamini Yesu ni Mungu au Muhammad ni mtume wa Mungu, ukakubali kuelekezwa Kibla, una ufinyu wa mawazo.

Watu wanaweza kukuchinja kama kuku umeelekezwa Kibla.

Au kukuambia Wayahudi ni taifa teule la Mungu.

Ukaamini kabisa kwamba Mungu mwenye uoendo wote anaweza kupendelea taifa fulani liwe taifa lake teule!

Bika kujua kwamba huo wote ni ukoloni wa kidini.

Umechotwa mawazo uwe mtumwa wa watu kwa gia ya dini.
 
Kiburi cha pesa kitamponza,Mungu hadihakiwi hata siku moja,ninatabiri kuanguka kwake very soon...
 
Ufahamu wangu na wako ni mbingu na ardhi. So sihitaji kubishana nawe.
Hata hapo unavyonijibu umeshabishana nami.

Nakubali ufahamu wangu na wako umetofautiana sana.

Kwa sababu huna unachojua kuhusu Falsafa ya Dini.

Nimekuuliza unaweza kunikanusha na kusema Yesu si tapeli?

Yesu aliwaambia watu atarudi kabla hawajafa. Miaka zaidi ya 2000 iliyopita.

Watu wakaona hamna haja ya kufanya kazi. Hamna haja ya kulima. Yesu anarudi karibuni.

Wakamsubiri weee, wakaanza kufa mmoja baada ya nwingumine.

Yesu harudi.

Mpaka leo hajarudi.

Sasa hapo nikikwambia Yesu kawatapeli hao watu utabisha?

Umeshindwa kujibu hoja hii.

Kwa sababu huna unachokielewa kuhusu haya mambo.

Ni sawa uelewa wako na wangu tofauti sana.

Kwa sababu huna unachokijua kuhusu haya mambo ya dini.

Unafuata kwa style ya "bendera kufuata upepo" tu.
 
Moja ya masharti yao ili waendelee kuwa maarufu ni kukufuru majina matatifu kama Yesu Kristo.

Huyu kijana anatakiwa kuombewa, over
 
Wakristo sie wapole sana ingekua waislamu muda huu kijana angekua keshaharibiwa sura na vitisho kibao vya kusomewa albadir.

Domo mpuuzi halafu mdini balaa hapo ndipo kaonyesha rangi yake halisi.
Sio wapole, hatujali
 

Nimelaumu KUTAJA? Acha kufanya spinning. Soma tena mada kuu
 
Sijadili hoja dhaifu. Nishavuka hizo level za toddlers
 
Kwanza yesu si mungu ..wala mwana wa mungu...yesi ni mtume miongoni mwa mitume wa mungu ni mwanaadam kama sisi tu ....
 
Ukristo umeletwa na wakoloni na mababu zetu wamekula viboko kwa kupokea ukristu. Ulitulegeza tutawalike
 
Ukristu uliletwa na wakoloni kwa lengo la kutawala, unabisha?
 
Wakristo sie wapole sana ingekua waislamu muda huu kijana angekua keshaharibiwa sura na vitisho kibao vya kusomewa albadir.

Domo mpuuzi halafu mdini balaa hapo ndipo kaonyesha rangi yake halisi.
Wala aiowapole tu 3gundua ter3 is nothing like Yesu ni mfumo tu wa kundi flsni linalotucontrol
 
Je wale Dada zetu wa moshi wanapopigwa bakora husema Yesu na Maria unaniua

Hi ikoje?????
 
Mtoa mada acha udini, umejaribu kuruka baadhi ya vitu ili kuleta udini!! Emu rudia kusikiliza mashairi hayo nahisi utaelewa zaidi, kukurupuka sio kuzuri!!
Usitake kuleta mambo ya facebook , huku ni jamii forum
Yeye muislamu angemtaja Issa bin Mariamu basi..Yesu wao wa uwongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…