Diamond Platnumz interview with Sports Arena (Exclusive)

Dah haka kajamaa kanatu-outsmart Sana tuliopita pita vyuoni. Shame on us
Je na Bakhresa unamuweka wapi?Hata ukiweka maprofesa wote wa bongo kina Kabudi hawamfikii.Ile Hotel yake ya Zanzibar,bahari ilisogezwa/land reclamation ndio ikajengwa.Yaani hayo mambo tuliyasoma kwenye geography secondary yalikuwa yanafanyika huko Netherlands!
 
Diamond ana influence kubwa ktk kila jambo linalohusiana na muziki mpira ni kitu kingine kabisa bakhresa na mihela yake yote na uwekezaji mkubwa alioufanya bado hafurukuti mbele ya simba na yanga kwa kila kitu hadi mashabiki sembuse mond mwenye hela za kuunga unga, hizi simba na yanga ziache km zilivyo hakuna MTU yoyote anayeweza kuzishusha pale juu hata kwa mabomu huyo mond mwenyewe simba,bakhresa ana azam ila ni shabiki wa simba damu na hii kitu ya kuamini ukiwa maarufu kwenye muziki ukifanya michongo wowote nje ya muziki utafanikiwa eti kisa ni maarufu kwenye muziki hii kitu inawafelisha sana wasanii
 
Umeelewa nilichoandika? Wapi nimesema anaweza kuzishusha Simba na Yanga, au angalau kuilinganisha na Simba na Yanga?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…