Diamond Platnumz ipo siku atawapigia Clouds magoti

Nimjibu mpumbavu maana ya upumbavu?
Mwache afe na upumbavu wake!

Wewe ni mpumbavu unayetaka kuchukulia majibu yangu kuendeleza mjadala.
Hebu hapo ulipo kubali kuwa wewe ni mpumbavu mtukuka

Ngumbaru!
Ahahaaah.
Nimegundua kuwa wewe sio MPUMBAVU tu, bali ni MJINGA pia.
UPUMBAVU wako ni huu: Umeenda shule lakini bado unashindwa kusoma wala kuandika vizuri,sio kwamba unashindwa kusoma au kuandika vizuri kwasababu haujui ila ni UPUMBAVU wako tu.
UJINGA wako ni huu: Wewe ni MPUMBAVU, lakini unaamini kuwa wewe ni mjanja.
 
Kwanza: kabisa nianze na wasafi fm ambayo ipo nyuma ya Paul makonda,
hawatoweza hata siku moja kuizima CLOUDS fm ingawa wana Matatizo Yao ikiwemo kuwanyonya wasanii watu wengi tuliamini E fm ndo mbadala wa CLOUDS ila wameshindwa kuziba hilo gap.

Pili: njia waliyoitumia ku promote hiyo
Station Yao sio sahihi hakukuwa na haja yoyote ya kutafuta kiki kwenye suala kama lile ambazo hazikuwa na umuhimu wowote .

Tatu: clouds fm wana mchango mkubwa sana katika mafanikio yake ya mziki Diamond amewakosea sana clouds na atarudi na machozi siku moja pale mawingu fm ili wayamalize
Kama wanavyo hangaika kurudi wengine kama Ray c, Q chief na Ruby kwa siku za karibuni.

WCB walikuwa wana bebwa sana na clouds kipindi cha nyuma mpaka kuna baadhi ya wasanii walikuwa wanalalamika na kwa mziki wa Tanzania jinsi ulivyo wana mchango mkubwa sana huwezi kuwa mbali nao na kila kitu kikawa sawa sawa lazima utahitaji msaada wao tu.

NB: Diamond labda aache mziki afanye Biashara ila akiendelea na mziki "LAZIMA SIKU MOJA ARUDI CLOUDS NA MAGOTI",

Kila la kheri wasafi fm ila kwa CLOUDS mjipange sanaaa.
Konki, Konki, Konki Master.
 
Naongelea mafanikio ya ki media wewe unaongelea mafanikio ya kimziki vinaendana?
NB:watu wenye status ya senior huwa weupe kwenye mada nyingi hapa jukwaani

We ndo mweupe tena una wivu wa kike. Sasa Diamond kufeli kimedia na kwenda kuwapigia magot cloudz vnahusiana vp? Fafanua vzuri tukuelewe
 
Kwanza: kabisa nianze na wasafi fm ambayo ipo nyuma ya Paul makonda,
hawatoweza hata siku moja kuizima CLOUDS fm ingawa wana Matatizo Yao ikiwemo kuwanyonya wasanii watu wengi tuliamini E fm ndo mbadala wa CLOUDS ila wameshindwa kuziba hilo gap.

Pili: njia waliyoitumia ku promote hiyo
Station Yao sio sahihi hakukuwa na haja yoyote ya kutafuta kiki kwenye suala kama lile ambazo hazikuwa na umuhimu wowote .

Tatu: clouds fm wana mchango mkubwa sana katika mafanikio yake ya mziki Diamond amewakosea sana clouds na atarudi na machozi siku moja pale mawingu fm ili wayamalize
Kama wanavyo hangaika kurudi wengine kama Ray c, Q chief na Ruby kwa siku za karibuni.

WCB walikuwa wana bebwa sana na clouds kipindi cha nyuma mpaka kuna baadhi ya wasanii walikuwa wanalalamika na kwa mziki wa Tanzania jinsi ulivyo wana mchango mkubwa sana huwezi kuwa mbali nao na kila kitu kikawa sawa sawa lazima utahitaji msaada wao tu.

NB: Diamond labda aache mziki afanye Biashara ila akiendelea na mziki "LAZIMA SIKU MOJA ARUDI CLOUDS NA MAGOTI",

Kila la kheri wasafi fm ila kwa CLOUDS mjipange sanaaa.
Uzuri jamaa hategemei media za ndani sana,alishavuka hatua hiyo!Ndio maana show zake nyingi anafanyia nje!
 
Naomba niseme ukweli nina zaidi ya miaka 5 niko mjini sijawahi sikiliza redio yeyote wala TV juzi kati ndo nimeaza kuangalia sultan nayo naangalizia cimu
 
Senior member hahaha!

Mambo ya Senior yanahusika nini mzee tetea hoja acha kukariri maisha zilikuwepo redio maarufu sana kabla ya hyo cloudz yako so ztaendelea kuja nyingne nyingi.

Kwanza huoni maendeleo ya mwenzio ni maendeleo ya nchi yako? Kwa nini usimtabirie mema badala ya huo uchuro wako?

Badilikeni maendeleo hayaji kwa wivuwivu wa kiboya na kutabiriana vitu vbaya, support juhudi za wenzio upate thawabu mzee acha upopoma na pang'ang'a mingi
 
Fiesta ya mwaka huu chali kabisa, i bet CMG will move down on there knees to WCB first.
 
Kwanza: kabisa nianze na wasafi fm ambayo ipo nyuma ya Paul makonda,
hawatoweza hata siku moja kuizima CLOUDS fm ingawa wana Matatizo Yao ikiwemo kuwanyonya wasanii watu wengi tuliamini E fm ndo mbadala wa CLOUDS ila wameshindwa kuziba hilo gap.

Pili: njia waliyoitumia ku promote hiyo
Station Yao sio sahihi hakukuwa na haja yoyote ya kutafuta kiki kwenye suala kama lile ambazo hazikuwa na umuhimu wowote .

Tatu: clouds fm wana mchango mkubwa sana katika mafanikio yake ya mziki Diamond amewakosea sana clouds na atarudi na machozi siku moja pale mawingu fm ili wayamalize
Kama wanavyo hangaika kurudi wengine kama Ray c, Q chief na Ruby kwa siku za karibuni.

WCB walikuwa wana bebwa sana na clouds kipindi cha nyuma mpaka kuna baadhi ya wasanii walikuwa wanalalamika na kwa mziki wa Tanzania jinsi ulivyo wana mchango mkubwa sana huwezi kuwa mbali nao na kila kitu kikawa sawa sawa lazima utahitaji msaada wao tu.

NB: Diamond labda aache mziki afanye Biashara ila akiendelea na mziki "LAZIMA SIKU MOJA ARUDI CLOUDS NA MAGOTI",

Kila la kheri wasafi fm ila kwa CLOUDS mjipange sanaaa.
Kwani lengo lake ni kuizima clouds?
 
CMG sasa hivi hakuna tena ushindani.Master mind BOSS Ruge sasa hivi anapambania afya yake itengemae hawezi kupanga mipango kumshughulikia Diamond.Ufalme ndiyo unaelekea ukingoni,Muda utaongea.
 
Back
Top Bottom