Ahahaaah.Nimjibu mpumbavu maana ya upumbavu?
Mwache afe na upumbavu wake!
Wewe ni mpumbavu unayetaka kuchukulia majibu yangu kuendeleza mjadala.
Hebu hapo ulipo kubali kuwa wewe ni mpumbavu mtukuka
Ngumbaru!
Konki, Konki, Konki Master.Kwanza: kabisa nianze na wasafi fm ambayo ipo nyuma ya Paul makonda,
hawatoweza hata siku moja kuizima CLOUDS fm ingawa wana Matatizo Yao ikiwemo kuwanyonya wasanii watu wengi tuliamini E fm ndo mbadala wa CLOUDS ila wameshindwa kuziba hilo gap.
Pili: njia waliyoitumia ku promote hiyo
Station Yao sio sahihi hakukuwa na haja yoyote ya kutafuta kiki kwenye suala kama lile ambazo hazikuwa na umuhimu wowote .
Tatu: clouds fm wana mchango mkubwa sana katika mafanikio yake ya mziki Diamond amewakosea sana clouds na atarudi na machozi siku moja pale mawingu fm ili wayamalize
Kama wanavyo hangaika kurudi wengine kama Ray c, Q chief na Ruby kwa siku za karibuni.
WCB walikuwa wana bebwa sana na clouds kipindi cha nyuma mpaka kuna baadhi ya wasanii walikuwa wanalalamika na kwa mziki wa Tanzania jinsi ulivyo wana mchango mkubwa sana huwezi kuwa mbali nao na kila kitu kikawa sawa sawa lazima utahitaji msaada wao tu.
NB: Diamond labda aache mziki afanye Biashara ila akiendelea na mziki "LAZIMA SIKU MOJA ARUDI CLOUDS NA MAGOTI",
Kila la kheri wasafi fm ila kwa CLOUDS mjipange sanaaa.
Naongelea mafanikio ya ki media wewe unaongelea mafanikio ya kimziki vinaendana?
NB:watu wenye status ya senior huwa weupe kwenye mada nyingi hapa jukwaani
Uzuri jamaa hategemei media za ndani sana,alishavuka hatua hiyo!Ndio maana show zake nyingi anafanyia nje!Kwanza: kabisa nianze na wasafi fm ambayo ipo nyuma ya Paul makonda,
hawatoweza hata siku moja kuizima CLOUDS fm ingawa wana Matatizo Yao ikiwemo kuwanyonya wasanii watu wengi tuliamini E fm ndo mbadala wa CLOUDS ila wameshindwa kuziba hilo gap.
Pili: njia waliyoitumia ku promote hiyo
Station Yao sio sahihi hakukuwa na haja yoyote ya kutafuta kiki kwenye suala kama lile ambazo hazikuwa na umuhimu wowote .
Tatu: clouds fm wana mchango mkubwa sana katika mafanikio yake ya mziki Diamond amewakosea sana clouds na atarudi na machozi siku moja pale mawingu fm ili wayamalize
Kama wanavyo hangaika kurudi wengine kama Ray c, Q chief na Ruby kwa siku za karibuni.
WCB walikuwa wana bebwa sana na clouds kipindi cha nyuma mpaka kuna baadhi ya wasanii walikuwa wanalalamika na kwa mziki wa Tanzania jinsi ulivyo wana mchango mkubwa sana huwezi kuwa mbali nao na kila kitu kikawa sawa sawa lazima utahitaji msaada wao tu.
NB: Diamond labda aache mziki afanye Biashara ila akiendelea na mziki "LAZIMA SIKU MOJA ARUDI CLOUDS NA MAGOTI",
Kila la kheri wasafi fm ila kwa CLOUDS mjipange sanaaa.
Ahahaaah.
Kwani wewe unajivunia kipi mpaka ukathubutu kumuita Diamond mpumbavu?
Kipi ambacho umemzidi Diamond?
Huyo mondi nawewe mmenizidi upumbavu
Najivunia kutokuwa mpumbavu!
Senior member hahaha!Ungekuw sio mpumbav usingechallenge maendeleo ya mwanaume mwenzio na kuleta wivu wa kike
Senior member hahaha!
Kwani lengo lake ni kuizima clouds?Kwanza: kabisa nianze na wasafi fm ambayo ipo nyuma ya Paul makonda,