KITINDIKITAMU
Senior Member
- Nov 3, 2019
- 189
- 356
kwa mtima nyongo alioufanya kondeboy
kwa kuzunguka mlango Wa nyuma kumuibia alikiba deal la CRDB bank,
tena yeye akasema atatangaza huduma kama ambassador kwa punguzo kubwa almost nusu ya kiwango ambacho CRDB walipanga wampe alikiba kwa Kama angekuwa balozi
so harmonize akavunja bei na kujirahisishia bei ili achukue deal,crdb wakaona afadhali kiuchumi
Nadhani sasa huo ndio mwanzo wa vita nyingine Kati ya Kondeboy na alikiba.