Diamond Platnumz, jiandae kufa kisanii endapo utakubaliana na mikakati ya CCM

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
406
Habari zilizoko chini chini ni kwamba, chama tawala kinajiandaa kumtumia Platnumz katika kampeni zake za uchaguzi mkuu 2015..

Zaidi ya Tshs 300 milioni zimeandaliwa kumlipa huyu msanii ili atangaze sera za chama na kuvuta watanzania wakipigie kura hiki chama kiingie ikulu kwa mara ya tano...

Diamond Jiandae kupotea kisanaa!

Jifunze kutoka kwa marlow na Mr Nice! CCM ni chama cha laana kwa wasanii na watanzania kwa ujumla kwa sasa!

Ukikimbilia hizi pesa tu wewe ujue umeisha.

Your deadline will be 2015 kimuziki...
 
Kuna msalaba ambao mtu lazima uubebe bila kujali uzito na lawama za wanaokuzunguka,naona Diamond hana jinsi kama kweli atahitajika hawezi kubisha lazima awapigie debe CCM kulipa fadhila za dinner na posho toka Magogoni akibisha Mawingu wanamzima fasta.
 
Jifunze kutofautisha mkuu...
 
Alipiga kampeni 2010 na hata akaibadilisha nyimbo ya Mbagala kuwa "chagua CCM".Nothing happened. Ni sawa sawa unataka sema watu wanaoshona zile nguo zao za kijani, wanaokodisha miziki kwenye mikutano yao, wanao chukua tenda za kupika. Wote waache just because its CCM.HUJUI HELA WEWE
 
Hakuna kitu kama hiko.campaign atapiga na bado atabaki kileleni
 

Diamond usikatishwe na tamaa na mtu yeyote angalia kama hizo 300 milioni zinalipa wewe piga kazi iwe kutoka CCM, CUF, CHADEMA, NCCR au chama chochote kile ili mradi mkwanja upo wewe usiogope kuna wasanii wangapi hatuwasikii ambao hawajahi kuipigia kampeni CCM kina 0 ten, Q chief, Dudubaya na wengine kibao wamepotea bila hata kujihushisha na CCM lakini pia mbona kuna wasanii kibao tu walifanya kampeni za CCM 2010 na bado wana shine?

Wanaume family na Tip Top nao walizunguka kwenye kampeni za CCM mbona bado wapo tu juzi hapa kwenye birthday ya CCM mbona Diamond alitumbuiza na nado hajashuka? Wasanii mnatakiwa mfanye kazi ma chama chochote ili mradi tu wawalipe vizuri
 
Babu Tale alishawahi kusema "faham kuwa diamond ni msanii na anaingiza pesa kupitia matamasha ya kimuziki ya aina mbali mbali na tofauti tofauti,kama CCM au chama chochote kile kutoka upinzani wakimuhitaj Diamond awapigie kampeni basi ataenda ila tu kama dau litakuwa la kutosha"
 
Unajidanganya tena ujafikiria kwa kuanzisha uzi kama huu,diamondi ukimkataa wewe Rwanda,Burundi,Kesha na Afrika nzima watamkubari.
 
Piga kazi mdogo wangu hachana na wapiga kelele wa mitandaoni, komaa wakupe hata 500milioni ila chonde chonde husitoe 10% percent nyingi maana wewe dogo hela zako zina migao mingi
 


Mleta mada acha ujinga daimond ana haki ya kuamua mambo yake hizi story kamwambie mama yako
 
mleta mada acha ujinga daimond ana haki ya kuamua mambo yake hizi story kamwambie mama yako

Sasa mama ake kaingiaje hapa? Huwezi hisi mama ake aweza kuwa mama ako pia? Kwa dhana kwamba anaweza kuwa na umri wa kukuzaa?

Tumia akili ndg hakuna akujuae hapa eti atakupa umaarufu kuwa wewe ni bigwa wa jf wa kujibu, mtandao huu watu mnatabia za kufata tu.

Amtukanae baba nae mama kufa na afe. Biblia inasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…