Diamond Platnumz, jiandae kufa kisanii endapo utakubaliana na mikakati ya CCM

Diamond Platnumz, jiandae kufa kisanii endapo utakubaliana na mikakati ya CCM

Nadhani its time binadamu lazima tujue kutofautisha baina ya KAZI na Siasa Dai akipigia debe CCM,CUF,AU chama chochote.

As long as wanamlipa na nimkataba afenye,siasa awaachie wenyewe....
 
Habari zilizoko chini chini ni kwamba, chama tawala kinajiandaa kumtumia platnumz katika kampeni zake za uchaguzi mkuu 2015..

zaidi ya Tshs 300 milioni zimeandaliwa kumlipa huyu msanii ili atangaze sera za chama na kuvuta watanzania wakipigie kura hiki chama kiingie ikulu kwa mara ya tano...

Diamond Jiandae kupotea kisanaa!

Jifunze kutoka kwa marlow na Mr Nice! CCM ni chama cha laana kwa wasanii na watanzania kwa ujumla kwa sasa!

Ukikimbilia hizi pesa tu wewe ujue umeisha.

Your deadline will be 2015 kimuziki...

Mkuu tunahitaji mrejesho, ulivyofunguka hiyo 2015 ndio mwisho wake...

Nanukuu kutoka kwenye wimbo wake wa "Nitampata wapi" alikwambia "Lazima ujue kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha, kuna X na ×" Nadhani utabiri mbovu wa namna hii hautajirudia 2020..
 
Hahahahh naona Leo unataka feedback mkuu.
 
Habari zilizoko chini chini ni kwamba, chama tawala kinajiandaa kumtumia platnumz katika kampeni zake za uchaguzi mkuu 2015..

zaidi ya Tshs 300 milioni zimeandaliwa kumlipa huyu msanii ili atangaze sera za chama na kuvuta watanzania wakipigie kura hiki chama kiingie ikulu kwa mara ya tano...

Diamond Jiandae kupotea kisanaa!

Jifunze kutoka kwa marlow na Mr Nice! CCM ni chama cha laana kwa wasanii na watanzania kwa ujumla kwa sasa!

Ukikimbilia hizi pesa tu wewe ujue umeisha.

Your deadline will be 2015 kimuziki...

Dua la kuku, kwikwikwi!
 
Kuna kitu watanzania bado hatuelewi sijui ni makusudi 2, yani kwa level aliyofkia diamond kusubil ashuke labda afe, coz at aharibu vp tanzania bado yy ni msanii wa kimataifa so haitompa shida ata kidogo, na mnakosea sana kumfananisha Diamond na wakina marlow, mr nice level zao zilikuwa local sana
 
Ali Kiba ndio yupo hoi bin taaban,Diamond kapiga promo CCM, kalamba mkwanja na anapaa kimataifa
 
Alipiga kampeni 2010 na hata akaibadilisha nyimbo ya Mbagala kuwa "chagua CCM".Nothing happened. Ni sawa sawa unataka sema watu wanaoshona zile nguo zao za kijani, wanaokodisha miziki kwenye mikutano yao, wanao chukua tenda za kupika. Wote waache just because its CCM.HUJUI HELA WEWE
𝙷𝚑𝚊𝚑𝚊 𝚕𝚎𝚘 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚛𝚞𝚍𝚒 𝚝𝚎𝚗𝚊 𝚎𝚝𝚒𝚒𝚒
 
Kazi kweli kweli, sisi wengine yetu macho tuu...
Napenda maendeleo yake Sadala ila kuna siku alitoa maneno mazito kuhusu wanawake ilibidi niUnfollow kule Ig,Mimi nawaheshimu sana wanawake...
sipendi yanayoendelea dhidi yake ila nadhani kuna jambo atajifunza,

Nikikumbuka ukubwa wa Sir Nature kibla nyakati zile na sasa, kijana ajifunze kuweka akiba ya maneno
 
Diamond platnumz akifa kisanii ndio utakuwa mwanzo wa kuporomoka mziki wa bongo fleva.
Diamond 💎 ananyota kama ya Kanumba, yani akifa na wanamziki wa bongo fleva wanarudi kuwa msikni.
 
Back
Top Bottom