NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,391
Habari zilizoko chini chini ni kwamba, chama tawala kinajiandaa kumtumia platnumz katika kampeni zake za uchaguzi mkuu 2015..
zaidi ya Tshs 300 milioni zimeandaliwa kumlipa huyu msanii ili atangaze sera za chama na kuvuta watanzania wakipigie kura hiki chama kiingie ikulu kwa mara ya tano...
Diamond Jiandae kupotea kisanaa!
Jifunze kutoka kwa marlow na Mr Nice! CCM ni chama cha laana kwa wasanii na watanzania kwa ujumla kwa sasa!
Ukikimbilia hizi pesa tu wewe ujue umeisha.
Your deadline will be 2015 kimuziki...
Hahahahh naona Leo unataka feedback mkuu.Mkuu tunahitaji mrejesho, ulivyofunguka hiyo 2015 ndio mwisho wake...
Nanukuu kutoka kwenye wimbo wake wa "Nitampata wapi" alikwambia "Lazima ujue kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha, kuna X na Γ" Nadhani utabiri mbovu wa namna hii hautajirudia 2020..
Habari zilizoko chini chini ni kwamba, chama tawala kinajiandaa kumtumia platnumz katika kampeni zake za uchaguzi mkuu 2015..
zaidi ya Tshs 300 milioni zimeandaliwa kumlipa huyu msanii ili atangaze sera za chama na kuvuta watanzania wakipigie kura hiki chama kiingie ikulu kwa mara ya tano...
Diamond Jiandae kupotea kisanaa!
Jifunze kutoka kwa marlow na Mr Nice! CCM ni chama cha laana kwa wasanii na watanzania kwa ujumla kwa sasa!
Ukikimbilia hizi pesa tu wewe ujue umeisha.
Your deadline will be 2015 kimuziki...
π·ππππ πππ π πππππππ ππππ πππππAlipiga kampeni 2010 na hata akaibadilisha nyimbo ya Mbagala kuwa "chagua CCM".Nothing happened. Ni sawa sawa unataka sema watu wanaoshona zile nguo zao za kijani, wanaokodisha miziki kwenye mikutano yao, wanao chukua tenda za kupika. Wote waache just because its CCM.HUJUI HELA WEWE