masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Akikujibu nijulishealifanya live show?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikujibu nijulishealifanya live show?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni kweli kabisaChibu anakata sana viuno stejini.. kuliko aisha madinda
Itakuwa kajifunza kitu. Mana nimeona amempa hongera na davido akacoment kushukuru.Usiku wa jana msanii Davido alifanya onyesho la Muziki na kufanikiwa kuujaza uwanja wa O2 Arena wa nchini England ambao unao uwezo wa kujaza Mashabiki 20,000. Katika onyesho hilo Davido alionekana kumiliki Stage vizuri huku akiimba mwanzo kwisho na Sio kuwaachia mashabiki waimbe wenyewe kama afanyavyo Msanii Diamond platnumz kitu ambacho kimekuwa kikiwakera mashabiki wengi katika Show zake za nyuma hasa ile ya Kenya.
View attachment 1007043
Diamond unatakiwa ujifunze kumiliki stage vizuri kama afanyavyo Davido, Usipende kuacha mashabiki waimbe kwani wao wameingia kukusikia wewe, jifunze Kuimba Nyimbo mwanzo hadi Mwisho ili kukta kiu ya mashabiki wako na sio kukata kata nyimbo hovyo hovyo kama afanyavyo DJ waka RJ, ukifanya hivyo utaendelea kuharibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu gani nimesema aliyepo jukwaani sio David?Kwa hiyo aliyekuwa jukwaani siyo David?
Kwenye jukwaDavido ni mweupe hajui kulitawala jukwaa na sauti inawahi kukata.Msanii wa Nigeria ninaye mkubali ni MR Flavor yule amaa anajua kulitawala jukwaa,Davido anazunguka zunguka baada ya nusu saa sauti inakata,sema Davido ni maarufu kuliko Diamond ,pili mziki wa Nigeria ndio umeshika Afrika ,kwa hiyo kujaza hiyo Arena kwa Davido si shangai.Tumemuona next door Masaki wa kawaida, akiwa kwenye jukwaa.