Diamond Platnumz, karibuni kuachia wimbo

Diamond Platnumz, karibuni kuachia wimbo

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Msanii Maarufu Africa a.k.a Mutu ya Tuzo Diamond Platnumz yupo mbioni kuachia wimbo wake mpya.

Ndani ya wiki hili au lijalo mwanzoni ataachia wimbo wake mpya ambao ni matumaini yangu ataanza kuachia Vedio kwanza halafu Audio itafuata baadae katika stations mbalimbali za radio! Ikiwa ni tofauti ya diamond na upande wa pili ambao huchukua mwaka kuachia Vedio

Kwasasa yupo south Africa ambako naamini ataanzia huko kuachia hio ngoma kabla ya kwenda Nigeria na kisha Bongo, ni matumaini yangu kuwa hio ngoma atakuwa kashirikishwa msanii maarufu hapa Duani.

Kama sio Neo basi Usher Raymond na kama sio huyo basi P squre au mkali mwinge.

Je, unahisi hii ngoma nani atakuwa kashirikishwa? Bila shaka itakuwa inachezeka na itabamba sana!

Lakini je Ni collabo na Nani
 
Ya Neyo, maana hawezi kuachia za Wanaijeria zinazofatana
 
Lakini mimi ningemshauri aachie nyimbo nyingine baada ya mwaka mpya.
 
Lakini mimi ningemshauri aachie nyimbo nyingine baada ya mwaka mpya.

Ana hazina ya nyimbo huenda akafanya hvyo maana baada ya kutoa Nana aliahidi baada ya miezi 3 atatoa nyngne lakin uchaguzi nanona ulizuia kdg so huenda ikawa hvyo mkuu!
 
Back
Top Bottom