Diamond Platnumz katisha

Martisisy

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
440
Reaction score
384
kiukweli kijana wetu katsha sn n baada ya kutua bungen na kushangiliwa na wabunge wa pande zote mbili bila kujali itikadi ya vyama vyao... nafkir ndio msanii wa kwnz nchin kupata mapokez ya nguvu kutoka kw wabunge wetu... ifikie wakat iz team zote zikae chini zimpe heshima icon wetu maana hana mpinzan.
 
Katisha kivipi sasa
 

Umeona wapi. Kumbe bunge liko live
 
sijui barna...ila haya mambo ya kuitana na wasanii ikulu sijui bungeni siyaelewi kivileee!!nkahisi yalishaondoka na tezi dume
 
Yule mbunge wa viti maalum marwa aliyekua anapinga bunge live mimi nilikuwa naangalia tu figure yake ckujal kusikiza hotuba
 
sijui barna...ila haya mambo ya kuitana na wasanii ikulu sijui bungeni siyaelewi kivileee!!nkahisi yalishaondoka na tezi dume


My dear mi hua naimani jambo lolote mtu asiloelewa huwa halimuhusu,
 
Kuleta msanii nguli bungeni kunasaidia kupunguza stress za majadiliano,ona sasa wabunge wote wameshangilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…