Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ungapasya nkamu angubhapon'ya. kwan ulikughu ughwe?Mmbonekesyege bhatata na bhajubha
Sinkiniki sonkonoko kenly gu hukoMmbonekesyege bhatata na bhajubha
DAAH .. HUYU DIAMOND NI KICHWA ANAJUA MZIKI SANA KALITEKA SOKO LOTE LA MZIKI..HUYU JAMAA ANA DAMU YA AMERIKA BUT ALIZALIWA BONGO.. JAMAA ANAJUA SANA HANA MSHINDANI HAPA BONGO..HUYU JAMAA ANGETAKIWA AZALIWE USA NDIO KUNA WASHINDANI SIZE YAKE.. KUZALIWA HAPA BONGO ANASHUSHA/ANAUA KIPAJI CHAKE KIKUBWA KUPITILIZA...HAPA BONGO KUNA CHURA FLANI ANATAKA KUSHINDANA NAO..kiukweli kijana wetu katsha sn n baada ya kutua bungen na kushangiliwa na wabunge wa pande zote mbili bila kujali itikadi ya vyama vyao... nafkir ndio msanii wa kwnz nchin kupata mapokez ya nguvu kutoka kw wabunge wetu... ifikie wakat iz team zote zikae chini zimpe heshima icon wetu maana hana mpinzan.