Diamond Platnumz katisha

Mondi bana mi nilikua simkubali kabisa daaaah lakin juhudi za mshkaji ikabidi nizipigie salute tu,kiukweli jamaa anajitambua yeye ni nani na anataka kuwa nani,co kama wasanii wengine wanaishia kutupa historia tu za mambo ya zamani au eti wameshawahi kufanya nin akati era imebadilika na wadau tunataka kuona mafanikio ya wasanii tunaowasapoti,sasa kuanzia Leo mimi ni team Mondi NUKTAAAA.....
 
Maadui wanamkubali Mondi tatizo hawawezi kutamka hadharani kuwa wanampanda kwa kuogopa kuonekana wasaliti.

Mondi ni tishio hapa nchini, hata Ndovu anataka kuwa kama Mondi.
 
DAAH .. HUYU DIAMOND NI KICHWA ANAJUA MZIKI SANA KALITEKA SOKO LOTE LA MZIKI..HUYU JAMAA ANA DAMU YA AMERIKA BUT ALIZALIWA BONGO.. JAMAA ANAJUA SANA HANA MSHINDANI HAPA BONGO..HUYU JAMAA ANGETAKIWA AZALIWE USA NDIO KUNA WASHINDANI SIZE YAKE.. KUZALIWA HAPA BONGO ANASHUSHA/ANAUA KIPAJI CHAKE KIKUBWA KUPITILIZA...HAPA BONGO KUNA CHURA FLANI ANATAKA KUSHINDANA NAO..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…