Diamond Platnumz kavurugwa?

Diamond Platnumz kavurugwa?

Ukiona hivyo Kuna magoma kadhaa anajiandaa kuyaachia,kaeni tu mkao wa kula.
 
Si atoe ngoma maneno mengi ya nini?
 
2023 bado anatumia mbinu za 2003 kweli? Diamond kwa ukubwa anaopewa, nyimbo ndio zingekuwa zinaongea sio mikwara..! Jay Melody yupo kimya ila nyimbo mpk chooni zinapigwa
huyo Jay Melody
 
Hayo ni yake, ngoja nishughulike na yangu.
 
Na huo msalaba aliovaa shingoni ni urembo tu, au amemaanisha? Maana huyu kijana haaminiki hata kidogo.

Kama aliweza kuwakana Makolo mchana kweupe, anaweza pia kuwakana ndugu zake katika imaan saa mbili tu asubuhi.
 
Kwa sasa akubali kumlipa Marioo, Jaymelody na Harmonize ili aandikiwe ngoma kali.
 
Back
Top Bottom