binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
hahahaahaaa.... bora ukabembeleze mtoto wa jirani kuliko kujaribu kumwelewesha... sana sana hapo akirudi tena utamsikia "sasa ndo nini, mashabiki ndo nini? kwani hao mashabiki hawana kwao...!" Nchi ina majanga hii, we acha tu!!
binti kiziwi, yaani unapoteza muda wako kwa huyo omari londo? Ukiangalia ambayo ilitaka kuwa post #54 , utakuta kuna post pale nili-delete! Hiyo post nilikuwa namwelewesha jambo huyo ndugu sasa baadae, nikaanza kuzisoma post zake zingine, sikuona cha maana anachoongea na hapo nikagundua kujaribu kumwelewesha mtu kama huyu ambae wala haelekei kama anelewa chochote ni kupoteza muda... nikaamua ku-delete ile post ili aendelee kubaki na ujinga wake!
mnanilazimisha nishabikie wehu?? Nchi la hovyo kama hilo lenu kuna nini cha maana??? Kushabikia wehu
[/quote]binti kiziwi, yaani unapoteza muda wako kwa huyo omari londo? Ukiangalia ambayo ilitaka kuwa post #54 , utakuta kuna post pale nili-delete! Hiyo post nilikuwa namwelewesha jambo huyo ndugu sasa baadae, nikaanza kuzisoma post zake zingine, sikuona cha maana anachoongea na hapo nikagundua kujaribu kumwelewesha mtu kama huyu ambae wala haelekei kama anelewa chochote ni kupoteza muda... Nikaamua ku-delete ile post ili aendelee kubaki na ujinga wake!
View attachment 238685Mnanilazimisha kushabikia upuuzi wenu Wa nchi yenye mazombi
Ukiangalia mambo mengi hayaendi kwa sababu ya uzombi wenu ndo maana mkijaga huku tunawalazaga sebuleni mfyuuuuu
Inaonesha ni jinsi gani ulivo zombi
Wewe ndo hujui unacho ongea uji elewi ht uko wp negative man ndo Mimi kwa malofa km ww na huyo ndomo wako uwezi kunilazimisha nishabikie malofa get lost mayo de puta
Kwa muziki Wa ndomo?? Mziki gani ule bora angerudi akauze dagaa kwao tandale mashabiki wake wengi ni low class
Ww unaonekana mtt wa uswahilini kabisa,ndo wale mnakuwa wakubwa kwa mlo mara moko,Me si shabiki wake sema napenda nyimbo zake lakin naamini me nipo high class than u cochons.......enfoiré
Ndo maana nasema humu yamejaa majinga kama ww mwingine nazidi kuyaokota tu hata iyo cochons hujui kuandika
Yaani mnatumia nguvu mpk kutukana kwa ajili ya wehu km unamkubali MPE mkeo hahahahah
Dah raha sana kuitawala mizombi
wewe usiemkubali unafanya nn??? huwez kulazmisha kumchukia aisee
Sijakuambia umchukie acheni kuaifia wehu
ww inakuhusu nini mi kusifia wehu?