binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
hahahaahaaa.... bora ukabembeleze mtoto wa jirani kuliko kujaribu kumwelewesha... sana sana hapo akirudi tena utamsikia "sasa ndo nini, mashabiki ndo nini? kwani hao mashabiki hawana kwao...!" Nchi ina majanga hii, we acha tu!!
Hahahaaa eti nchi ina majanga hii!


