Diamond Platnumz kualikwa Ikulu kila wakati, kunani?

Diamond Platnumz kualikwa Ikulu kila wakati, kunani?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Wakuu,

Tujuzane kuna nini nyuma ya pazia kuhusu Diamond kwenda kwa Raisi Ikulu mara kwa mara. Mbona sijaona Mwanamuziki mwingine akienda Magogoni, au huwa anatumwa kazi maalum?.

Karibuni tujuzane..
 
Pengine Mkulu ni mpenzi wa ile single My number one remix
 
Aiii nyotaaaaa... amewazidi wenzakeeee 😂😂😂
 
Haya ni matokeo ya mjumba wa Tegeta roho zinawauma pyeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kuandaa singo za kampeni, si unajua mtaalam Wa nyimbo hizo hayupo tena
 
Back
Top Bottom