Utakufa wewe,utamuacha Diamond anapeta na kitorondo mwana mtoka pabaya weweHabarini wana jamvi,.
Tabia ya ku-copy na ku-paste swaggz mbalimbali toka kwenye videos za mbele/Marekani anayoiendeleza Diamond imepelekea wadau wengi kuona huyu jamaa ameishiwa ubunifu na anajiandalia kifo chake kimziki..
Binafsi naunga mkono hoja,
Siku zote huwa naombea kijana mwezangu apate mafanikio zaidi ili nijifunze kwake japo sipendi mziki wa bongo fleva hata roboHabarini wana jamvi,.