Diamond Platnumz kufa kimziki baada ya miaka 6

Diamond Platnumz kufa kimziki baada ya miaka 6

Jamaa katoa wazo zuri akiindelea kukopy kazi za watu kama zilivyo haimjengei mazingira rafiki.
 
Kumbe miaka sita ijayo jamaa ataendelea kusumbua duuh kumbe bado yupo yupo.
 
Duniani jamani hakuna kitu kipya kwa sasa, zaid unachukua idea za wenzio unaziboresha unatoa chako

Kizuri huigwa mimi sioni tatizo hapo
 
Ww ushakufa tayari, bora yeye ana miaka sita bado
 
Mnapiga ramli kwa sh ngapi na mm nijijue baada ya miaka sita nitakuwa wapi
 
Habarini wana jamvi,.
Tabia ya ku-copy na ku-paste swaggz mbalimbali toka kwenye videos za mbele/Marekani anayoiendeleza Diamond imepelekea wadau wengi kuona huyu jamaa ameishiwa ubunifu na anajiandalia kifo chake kimziki..
Binafsi naunga mkono hoja,
Utakufa wewe,utamuacha Diamond anapeta na kitorondo mwana mtoka pabaya wewe
 
Habarini wana jamvi,.
Tabia ya ku-copy na ku-paste swaggz mbalimbali toka kwenye videos za mbele/Marekani anayoiendeleza Diamond imepelekea wadau wengi kuona huyu jamaa ameishiwa ubunifu na anajiandalia kifo chake kimziki..
Binafsi naunga mkono hoja,
Siku zote huwa naombea kijana mwezangu apate mafanikio zaidi ili nijifunze kwake japo sipendi mziki wa bongo fleva hata robo
 
Back
Top Bottom