dlnobby JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 2,514 Reaction score 3,348 Jul 27, 2016 #41 Jf kuna mambo....watoa mada wengine ndo wale wanaotafutwa na makonda
Ndumbayeye JF-Expert Member Joined Jan 31, 2009 Posts 7,413 Reaction score 4,020 Jul 27, 2016 #42 kilagani said: Jamani huu wivu ni shida pambana na hali yako acha maneno maneno hayakusaidii kitu mtu akibarikiwa shida binadamu mmhhh. Click to expand... hata mimi jambo hili limenistua, hii copy and paste inanitia wasiwasi kwa star wangu huyu. ile video yake mpya inavyosambazwa mitandaoni ilivyokopiwa inamshushia heshima diamond.
kilagani said: Jamani huu wivu ni shida pambana na hali yako acha maneno maneno hayakusaidii kitu mtu akibarikiwa shida binadamu mmhhh. Click to expand... hata mimi jambo hili limenistua, hii copy and paste inanitia wasiwasi kwa star wangu huyu. ile video yake mpya inavyosambazwa mitandaoni ilivyokopiwa inamshushia heshima diamond.
Ndumbayeye JF-Expert Member Joined Jan 31, 2009 Posts 7,413 Reaction score 4,020 Jul 27, 2016 #43 Szczesny said: Duniani jamani hakuna kitu kipya kwa sasa, zaid unachukua idea za wenzio unaziboresha unatoa chako Kizuri huigwa mimi sioni tatizo hapo Click to expand... inaonesha hujaona ile video iliyokopiwa na diamond, weka namba nikirushie
Szczesny said: Duniani jamani hakuna kitu kipya kwa sasa, zaid unachukua idea za wenzio unaziboresha unatoa chako Kizuri huigwa mimi sioni tatizo hapo Click to expand... inaonesha hujaona ile video iliyokopiwa na diamond, weka namba nikirushie