Diamond Platnumz kufa kimziki baada ya miaka 6

Diamond Platnumz kufa kimziki baada ya miaka 6

Jf kuna mambo....watoa mada wengine ndo wale wanaotafutwa na makonda
 
Jamani huu wivu ni shida pambana na hali yako acha maneno maneno hayakusaidii kitu mtu akibarikiwa shida binadamu mmhhh.
hata mimi jambo hili limenistua, hii copy and paste inanitia wasiwasi kwa star wangu huyu. ile video yake mpya inavyosambazwa mitandaoni ilivyokopiwa inamshushia heshima diamond.
 
Duniani jamani hakuna kitu kipya kwa sasa, zaid unachukua idea za wenzio unaziboresha unatoa chako

Kizuri huigwa mimi sioni tatizo hapo
inaonesha hujaona ile video iliyokopiwa na diamond, weka namba nikirushie
 
Back
Top Bottom