Kijana anazidi kusonga mbelee kijana anazidi kuchanja mbuga katika kuhakikisha mziki wa Tanzania unakaa vizuri Marekani!!
Leo katika Ukurasa wake amepost picha akiwa na Msanii wa Marekani anaitwa Yogottikom na kuandika CAN'T WAIT FOR OUR RECORD!
Ikumbuke kuwa siku mbili zilizopita Diamond alipost Picha akiwa studio moja kubwa sana akitengeneza Biti...katika kufuatiria YOgottikom nae alipost akiwa studio hapo akisikiliza biti fulani
Unaizungumziaje hii collabo ya DIAMOND FT.YOGOTTIKOM?