Diamond Platnumz Kufanya Collabo Na Msanii mwingine Toka USA

Diamond Platnumz Kufanya Collabo Na Msanii mwingine Toka USA

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Kijana anazidi kusonga mbelee kijana anazidi kuchanja mbuga katika kuhakikisha mziki wa Tanzania unakaa vizuri Marekani!!

Leo katika Ukurasa wake amepost picha akiwa na Msanii wa Marekani anaitwa Yogottikom na kuandika CAN'T WAIT FOR OUR RECORD!

Ikumbuke kuwa siku mbili zilizopita Diamond alipost Picha akiwa studio moja kubwa sana akitengeneza Biti...katika kufuatiria YOgottikom nae alipost akiwa studio hapo akisikiliza biti fulani

Unaizungumziaje hii collabo ya DIAMOND FT.YOGOTTIKOM?
 
Yogottikom!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
huyo hakua maarufu huku tz domo umempa umaarufu huyo yogottikom

anyway sisi tupo bize na mr blue pamoja na nuhu mziwanda na wanyama kwa mbaalii
 
Back
Top Bottom